PreGE2025 Hili ndilo shtaka la Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tuna DPP mjinga sn, uchaguzi upi hapo umetajwa wa TFF au CHADEMA? hovyo kabisa japo baadae atafuta hakuna la maana
Baada ya Lissu kuona mna hizi akili, kaamua kuchukua chake mapema awaachie huo uchaguzi was TFF mhangaike nao. Baada ya uchaguzi anatimua zake ubelgiji. Lissu genius kweli.
 
Baada ya Lissu kuona mna hizi akili, kaamua kuchukua chake mapema awaachie huo uchaguzi was TFF mhangaike nao. Baada ya uchaguzi anatimua zake ubelgiji. Lissu genius kweli.
Lakini mumeo si tutapiga naye kura au naye atatuacha?
 
Propaganda is real

Wanapalilia moto kwa juu
 
Inasikitisha sana

Anyway, JPM alisingiziwa mabaya mengi 😎
Kwani magu alikinukisha vibaya sana? Alileta uasi?

Domo needs to learn nchi Lazima iwe na mifumo ya kudhibiti mihemuko na mitopolo ya hisia… the country ingeshakua Kama Congo of everyone angenukisha na kuasi

Kuna mambo hata Kama Unataka kuyafanya kamwe usiropoke

Domokaya linampoza domo lake, likishapanda mzuka linakosa kwbisa filter za upeo na busara
 
Hapo kama wanataka kubalance mambo wampe na Mwenezi Kesi maana alitoa pia taarifa za uongo.Taarifa ya kutoa taharuki kwa kusema CDM wataleta MPOX &EBOLA.
Hawa jamaa Wana double standard.
 
Jwa hiyo mropokaji atishie uasi hadharani halafu jeshi la polisi likae kimya? Hapo tutakua na nchi kweli? Katika hili Mropokaji kateleza.
 
Walaaniwe Hawa watu na kabineti Yao...
 
NB. Jamhuri inaweza kubadili, kuongeza au kurekebisha shtaka hilo kwa mujibu wa Sheria.
Asante kwa kutuletea hii, hakuna uhaini wowote hapo kwa mujibu wa sheria tulifundishwa sisi!. Uhaini My God!. Kuna Uwezekano Anadanganywa na Kadanganyika? I Don't Believe This!. Sitatizwi na Uongo Wao, Natatizwa na The Motives Behind Such Lies! Pia soma Ijue Katiba ya JMT kwa Jicho la Mtunga Katiba: Watanzania Tusishabikie Uhaini. Hukuna Uhaini wa Kauli na Maneno, Uhaini ni Mipango na Matendo

P
 
Hawa jamaa Wana double standard.
Uzushi na uhaini ni sawa ?

Walipozusha chair kala sukari kuna mtu alihangaika nao?

Uasi ni treason na Haina msamaha

Mfundisheni kudhibiti kamudomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…