Taifa ambalo hampiki vizuri wala hamfagii mpaka aje mgeni!
Tabia ya wananchi mpaka serikali!
Kweli ndege wenye mbawa zinazofanana wanaruka pamoja!
Sijui tumerithi hii tabia au Mungu katuchagua tunaofanana tabia katueka pamoja?
Taifa ambalo lina rasilimali lukuki lakini ni maskini. Taifa ambalo wafanyabiashara wakubwa wanapewa misamaha ya kodi walalahoi wanabanwa. Taifa ambalo mgeni anapokuja mwenjeji hathaminiwi.