Hili Ndilo Taifa La Tanzania!!!!!

Hili Ndilo Taifa La Tanzania!!!!!

Taifa ambalo ukiwa na nyumba pamoja na gari unahesabika tajiri

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
taifa ambalo wanafunzi wake wana fail 65% alfu lina shutuka kurudia kutoa matokeo wakat wengine walisha jiua.....
 
Taifa ambalo hampiki vizuri wala hamfagii mpaka aje mgeni!
Tabia ya wananchi mpaka serikali!
Kweli ndege wenye mbawa zinazofanana wanaruka pamoja!
Sijui tumerithi hii tabia au Mungu katuchagua tunaofanana tabia katueka pamoja?
 
  1. Taifa ambalo lina waziri mkuu handsome kuliko wote duniani
  2. taifa ambalo waziri mkuu wake alilia hadharani
  3. Taifa ambalo ambalo lianendeshwa na mtoto wa raisi
 
Taifa ambalo twiga anapanda ndege

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Taifa ambalo wananchi wake walio masikini kabisa wanang'ang'ania chama kilekile kinachowafanya wazeeke wakiwa masikini.
 
Taifa ambalo lina rasilimali lukuki lakini ni maskini. Taifa ambalo wafanyabiashara wakubwa wanapewa misamaha ya kodi walalahoi wanabanwa. Taifa ambalo mgeni anapokuja mwenjeji hathaminiwi.
 
Taifa ambalo kijana ukisapoti chama tawala unaonakana huna akili
Taifa ambalo kijana kama hunywi pombe we si mjanja
 
Back
Top Bottom