Hili ndio wazo langu la biashara nahitaji mchango wa mawazo zaidi

Mkuu Mungu akubariki katika harakati zako wazo lako liko safi sana aise ila kuna mdau ametoa ushauri wa kujitanua zaidi katika hiyo biashara kwa kuchukua order za matunda nk
 
Mkuu Mungu akubariki katika harakati zako wazo lako liko safi sana aise ila kuna mdau ametoa ushauri wa kujitanua zaidi katika hiyo biashara kwa kuchukua order za matunda nk
Nashukuru mkuu
 
Mawazo ya kijinga sana hayo ila kuna mijitu ya ajabu ajabu itaiba idea yako.

Una dhalilisha elimu yako yani mimi ningekuwa rafiki yako halafu nakukuta unauza mboga aisee nakukataa mchana kweupe na siku hiyo hiyo urafiki unaisha
Weka wazo lako ambalo sio la kijinga
 
Mawazo ya kijinga sana hayo ila kuna mijitu ya ajabu ajabu itaiba idea yako.

Una dhalilisha elimu yako yani mimi ningekuwa rafiki yako halafu nakukuta unauza mboga aisee nakukataa mchana kweupe na siku hiyo hiyo urafiki unaisha
Acha utoto hayo ni mawazo mgando, maisha ni kupambana na usimkatishe tamaa, we lazima utakuwa umetoka kwenye familia ambayo wazazi wameisha kuwekea kila kitu,
 
mkuu je ulishawahi kupika mhoga za majani?? tabia za mboga mbichi unazijua kaka? kikontena gani kitakachoweza kukaa mboga ya familia nzima?? mafungu mawili ya mchicha hawawezi kutosha familia hata ya watu wanne labda wawe watu wa mboga 7 mboga ukishaanza ipika inanyong'onyea sasa container inaweza jaaa kwa fungu mbili ila unaemuuzia haitamtosha kama ana familia kubwa ila wazo lako ni zuri hasa ukiamua kuliboresha zaidi unaweza ukaweka hata fungu 4 ambazo utazinunua sokoni kwa 1000 alafu ukauza 2000 au zaidi. pia wazo langu kulioko kutumia container ni bora ukatumia mifuko midogo ya plastic ambayo haitakupa mzigo.
 
Mkuu nimekuelewa vizuri ila ningependa kuijuwa hiyo mifuko japo hata kwa picha na inapouzwa lakini lengo langu ni kuuza japo 100 parcked vegetables per day mkuu
 
Hongera wazo zur kaza buti usiwe muoga ucwe na aibu wala uckatshwe tamaa utafika mbali
 
hongera kwa kudhubutu mkuu changamoto utakuyokutana nayo ni kuchukiwa na mahouse girl mana huwa wanapenda kwenda kuzurula sokoni sasa wewe unawapelekea nyumbani alaf pia usije kata moyo endapo utapeleka mboga ukakuta mwenye nyumba mlisoma darasa moja piga kazi baba maisha ndio hayahaya.
tafuta container kubwa kubwa kdogo ukikata kata mboga inaingia hata fungu3.usafiri najua utatumia baiskeli.
jitahidi kuwa na muonekano smart utauza sana mboga pia peleke hata mahotelini,wapelekee hata ofisini wanakopigwa kupupwe ikiwa kwenye kontena watachukua sasa nawaza hizo kontena utakua unawaachia au unazifata kesho yake
 
Mawazo ya kijinga sana hayo ila kuna mijitu ya ajabu ajabu itaiba idea yako.

Una dhalilisha elimu yako yani mimi ningekuwa rafiki yako halafu nakukuta unauza mboga aisee nakukataa mchana kweupe na siku hiyo hiyo urafiki unaisha
Wewe unafanya biashara gani hapa mjini kwa kuanzia sababu real entrepreneur huwa hata siku moja hakurupuki kusema wazo la mtu ni la kijinga ni wale wavaa tai tu wanaojiriwa na kulipwa laki nane kwa mwezi halafu mshahara unaisha tarehe kumi hao ndo wana umaskini jeuri wa kusema mawazo ya kijinga..Au utakuwa ndo mwanafunzi unamilizia chuo una ndoto za kuajiriwa mahesabu yako ukishaajiriwa utanunua Altezza baada ya miezi sita kisha baada ya miaka miwili utamiliki nyumbaa..Kwa akili za type yako nazifahamu vyema. Ondoa utando kichwani mwako wa kuongea mashudu
 
Mkuu nimekuelewa vizuri ila ningependa kuijuwa hiyo mifuko japo hata kwa picha na inapouzwa lakini lengo langu ni kuuza japo 100 parcked vegetables per day mkuu
Kaka mifuko hii hii midogo ya rangi nyeusi tunayowekewa Chips hii inayouzwa 50 ila jumla sijui ni 500 au 1000 sina hakika..
 
wazo zuri ila kabla ya kuanza jua unapga biashara eneo gani, kingne kuna mdau juu kasema wing wa mboga na kfaa cha kubebea, ila usafiri wa kusambazia kwa mguu,gari au bajaji au pkpk? (ubebe container mia na kurud nazo) then exchange ya product ukfksha mboga unampa container then unasubiria( muda wa kusubiria unaweza ukawa mwingi) so inakulazimu uwe na container nyingi, kama unasambaza asubuh mboga unaziandaa sa ngapi na kuzikata(maandalizi ya mali kwa usafi) na kuhusu swala la joto kunyauka wakati unasambaza, ushauri ni bora uandae mchana mida ya jion unasambaza ila target mama ntilie mie huwa nawakubali sana, cha mwisho uctake faida kubwa, pesa ipo ukijtuma,
 
Mkuu nilivyo plan ni kuwa nnapo muuzia mteja anabaki ni kikontena chake na halafu kwenye suala la uandalizi kwa mfano nikiuza leo kesho kesho naandaa vitu kwa ajili ya kuingia tena sokoni kesho kutwa kuhusu suala la usafili kwa mfano nakaa gongo la mboto na nime plan kwenda kuuza mikocheni it means kutoka Gomz hadi mikocheni nitakwenda na gari but hapo Mikocheni sasa ndio nitajaribu kupita house to house kuuza mboga zangu mkulu
 
Kontena nawaachia mkuu sema nini hebu jaribu kama kunikadiria bei ya hiyo bidhaa yangu mkuu fanya kama vile ungekuwa wewe ungeuza ni shillingi ngapi
 
Kontena nawaachia mkuu sema nini hebu jaribu kama kunikadiria bei ya hiyo bidhaa yangu mkuu fanya kama vile ungekuwa wewe ungeuza ni shillingi ngapi
 
Nafkri badala ya tangawiz unaweza kuweka hoho na carot, all in all ts a good idea
 
Ni wazo zuri sana lakini mboga za majani zilizokatwa katwa na containers bila shaka bei itapanda. Anyway itategemea umelenga jamii ipi na aina zipi za mboga.
Kama ukiongeza matunda ukayaweka vizuri bei ikawa reasonable it can also pay. Ukianza utapata maoni pia. Hebu zungumza pia na wauza njegere.
 
hongera mkuu hili wazo nilikua nalo,na nikipata mtaji nitakua mshindani wako hahahahaha nakutania....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…