wazo zuri ila kabla ya kuanza jua unapga biashara eneo gani, kingne kuna mdau juu kasema wing wa mboga na kfaa cha kubebea, ila usafiri wa kusambazia kwa mguu,gari au bajaji au pkpk? (ubebe container mia na kurud nazo) then exchange ya product ukfksha mboga unampa container then unasubiria( muda wa kusubiria unaweza ukawa mwingi) so inakulazimu uwe na container nyingi, kama unasambaza asubuh mboga unaziandaa sa ngapi na kuzikata(maandalizi ya mali kwa usafi) na kuhusu swala la joto kunyauka wakati unasambaza, ushauri ni bora uandae mchana mida ya jion unasambaza ila target mama ntilie mie huwa nawakubali sana, cha mwisho uctake faida kubwa, pesa ipo ukijtuma,