Thanks mkuuNi wazo zuri sana lakini mboga za majani zilizokatwa katwa na containers bila shaka bei itapanda. Anyway itategemea umelenga jamii ipi na aina zipi za mboga.
Kama ukiongeza matunda ukayaweka vizuri bei ikawa reasonable it can also pay. Ukianza utapata maoni pia. Hebu zungumza pia na wauza njegere.
Awali nilishtuka kidogo nilizani umekunywa VIROBA nikajiuliza lakini umevipata wapi mbona vimefungiwa haha hah hah hah kumbe ulikuwa unamchallange.Hapo sawa ila anyway ni wazo zuri nilikuwa na ku challenge tu ila vipi hutojisikia vibaya classmates wako wakikuona unafanya biashara hiyo?
ww ni maskini wa mawazoMawazo ya kijinga sana hayo ila kuna mijitu ya ajabu ajabu itaiba idea yako.
Una dhalilisha elimu yako yani mimi ningekuwa rafiki yako halafu nakukuta unauza mboga aisee nakukataa mchana kweupe na siku hiyo hiyo urafiki unaisha
Mawazo ya kijinga sana hayo ila kuna mijitu ya ajabu ajabu itaiba idea yako.
Una dhalilisha elimu yako yani mimi ningekuwa rafiki yako halafu nakukuta unauza mboga aisee nakukataa mchana kweupe na siku hiyo hiyo urafiki unaisha
Mkuu nimekuelewa vizuri ila ningependa kuijuwa hiyo mifuko japo hata kwa picha na inapouzwa lakini lengo langu ni kuuza japo 100 parcked vegetables per day mkuu
We fala na mjinga sana so unaona kuuza mchicha sio biashara? Mawazo ua kishoga haya. Nyie ndo mnakalianawaza biashara ni kuagiza magari yakuuza au kuanza biashara ya magari.Mawazo ya kijinga sana hayo ila kuna mijitu ya ajabu ajabu itaiba idea yako.
Una dhalilisha elimu yako yani mimi ningekuwa rafiki yako halafu nakukuta unauza mboga aisee nakukataa mchana kweupe na siku hiyo hiyo urafiki unaisha
Huyo achana naye mjinga sanaMkuu nipe wazo zuri na ambalo sio la kijinga tafadhali
Go on na Idea yako. nice idea ila kosa kubwa sana ulilo fanya ni kuleya Idea yako humu, utakatishwa tamaa make humu kuna fullu wafanyakazi yaani wao mambo kama haya ni wanaona ni ujinga na huawaambii chochote kuhusu kuajiriwa.Habari wana jF,
Mimi ni kijana baada ya kukaa sana mtaani bila kazi ya kueleweka japokuwa nina kijielimu kangu kutoka college moja hapa mjini nimeamua kuja na wazo langu la biashara kwa ajili ya kulifanyia kazi?
Lengo la kuweka uzi huu hapa ni kwa ajili ya michango ya kimawazo katika kuliboresha wazo hilo ambalo mimi au hata mtu mwingine anaweza akalitumia na likamtowa sehemu moja na kumpeleka sehemu nyingine.
Wazo lenyewe:
Kuuza Mboga za majani.
Ukiliangalia kwa haraka inaweza likaonekana ni wazo flani hivi la kipuuzi sana. Pia inaweza isikuingie akili kama kweli muhitimu wa chuo anaweza kufanya hiyo biashara. Lakini ndio wazo ambalo mimi nimekaa na kuja nalo.
Mchakato utakavyokuwa:
Jinsi nitakavyokuwa nafanya ni rahisi sana nitakuwa na nunua mboga za majani then nazikatakata halafu nazipaki kwenye vikontena. Ndani ya kikontena kimoja kutakuwa na mboga ya majani iliyooshwa taya na kukatwa katwa pia kutakuwa na kitunguu ambacho tayari kimeshakatwakatwa na pia kutakuwa na tangawizi ambayo tayari imeshasagwa.
Nb: Kitunguu na tangawizi kila kimoja kitakuwa kimehifadhiwa peke yake then vinawekwa ndani ya kikontena cha mboga ya majani. Bei nita idetermine kwa kutumia method inayoitwa Cost based price.
Usambazaji:
Njia ya usambazi nitakuwa nasambaza mimi mwenyewe kwa njia ya kutembea nyumba hadi nyumba. Yaani kwa kifupi nitakuwa nachagua mtaa wa kudeal nao kwa siku hiyo. Kama itakuwa ni Mikocheni maana yake nitachaguwa kimtaa cha ndani ya Mikocheni na kuuza biashara yangu. Then kwenye kila sehemu ninayouza biashara yangu nitaacha mawasiliano kwa ajili ya kumpelekea bidhaa kama ikitokea siku akiihitaji.
Changamoto nizionazo mpaka sasa ni kutokujuwa gharama halisi za package za plastiki ni shillingi ngapi itakuwa vizuri kama ukiweka na picha pamoja na bei zake kama unazifahamu.
Udhalishaji.
Nimepanga kama ikiwezekana kwa kila ninapoingia sokoni kuuza biashara yangu natakiwa kwenda sokoni na vikontena mia moja na kumake sure vikontena vyote vinaisha ndani ya siku moja.
Nakaribisha mawazo ya kujenga na hata wale wa kukejeli pia nawakaribisha maana naamini yule anayekukejeli au kukusema ndio anakujenga.
Karibuni sana wakuu
Mkuu nipe wazo zuri na ambalo sio la kijinga tafadhali
hahahaha kazi nyingine ni kuweka aibu pembenigood idea ukifanikiwa kuianza tafadhali hakikisha unazingatia usafi na ubora wa bidhaa zako kumfanya mteja kwanini asinunue kwa akina mama wanaotembeza anunue kwako (hadi aweke oda )japo sijajua kama hizo mbogmboa utazilima mwenyewe au unanunua kwa watu, na mfumo wa biashara yako utakuwa special kwa kiasi gani... maana kila mtu ana strategies zake mf.mwingine anapita anaimba kwa style ya aina yake................yote kwa yote wazo zuri ila kama nakuona vile unaimba alaf unapita nyumba flaniu pale mikochen unakutana montress wa wa std V (natania)