The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,282 Reaction score 117,244 Oct 18, 2012 #1 Kuchambwa au kuchamba naona linatumika mno na kina mama hasa kwenye mipasho je ni neno sahihi nje ya toilet? na usahihi na maadili yake kutumika ukoje?
Kuchambwa au kuchamba naona linatumika mno na kina mama hasa kwenye mipasho je ni neno sahihi nje ya toilet? na usahihi na maadili yake kutumika ukoje?