Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
ThanksKiswahili ni lugha yenye busara na mantiki. Huwezi kumwambia second party hayo maneno, kimantiki. Wanaotaka kula kitu fulani, mathalani chakula, huwa hawakiombi ruhusa, bali wanakichukua na kukifakamia moja kwa moja.
We never ask food for permission to eat it. We simply extend our hand, scoop out our share and carry on the exercise.
Ndiyo maana tafsiri sahihi ya maneno kama hayo haimantikiki. This is why, ^I want to marry you,^ Kiswahili kinatofautisha mwoaji na mwolewaji: ^Nataka nikuoe,^ ^Nataka niolewe na wewe.^
Kunani tena mumbaiUkiwa Mumbai sawa.
Hata kwa kiingereza ina ukakasi. Ni katika mazingira gani utaitumia hiyo sentensi? Haileti maana.Mfano: kwa lugha ya malkia ukisema.
"I want to eat you"
Labda unamwambia kuku mfano
Ni sahihi kusema nataka nikukule?
Hilo neno nikukule naona halileti mtiririko mzuri
Kwenu wataalamu wa Lugha
Anataka kumtafuna kingono.Hata kwa kiingereza ina ukakasi. Ni katika mazingira gani utaitumia hiyo sentensi? Haileti maana.