Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,256
- 44,597
Na. M. M. Mwanakijiji
Ati wakasimama kuomboleza kwa dakika moja...ati na wao sasa huzuni imewafikia na huruma juu. Leo wamekumbuka na wao ni wazazi...wanauchungu.
Wakati wengine wanalia na kutafuta miili ya ndugu zao wao waliendelea kutenda kama wanasingiziwa. Wakati watu wanaonesha miili iliyotobolewa kwa risasi kwenye kumbi ya cinema kule Mwanza wai wanasema AI!
Video za maiti zizozagaa katika ardhi yetunwao walikuwa wanafikiria tunapuuziaje. Watu wameuliwa majumbani mwao wao wanasema "hakuna mauaji yoyote". Kwa karibu wiki tatu walikuwa wanatenda kana kwamba Uchafuzi wao Mkuu ulikuwa ni halali.
Sasa wanataka tuamini watu walipiga kura kwa njia ya mnunurisho na zikahesabiwa kwa haraka kwa WiFi na Bluetooth!! Wanataka tuwape hualali kwa vile wanatenda wanavyodhani ni halali. Watu waingie nyumbani kwako wakuulie wanao halafu waingie jikoni wapike na wewe ukae meaning ule!! Tena wanataka uonekane unaenjoy!! Abakwe dada wa watu halafu aulizwe "umeenjoy"?
Wawajibike kwanza viongozi wa kisiasa nandola waliosimamia mauaji - wajiuzulu
Waombe radhi taifa
Uitishwe uchaguzi mkuu upya wenye usawa kwa vyama vyote
Wapandishwe mahakamani wote waliohusika.
Familia za wahanga zilipwe fidia
Wafanya biashara wafuatilie bima zao ziwalipe.
Kilichosemwa leo Bungeni na Samia hakikaribii hata kidogo kinachotakiwa kusemwa.
Wanaendelea kutenda kama hatukuona kilichotokea na hatukuwepo na sisi tunaendelea kuwatendea kama tulioona kila kilichotokea na tuliwepo. Mstari umechorwa.
Watapingwa tena Disemba 9 na kuendelea. Hawajajenga hoja ya kweli ya maridhiano..ya nani, ya nini na kwanini. Unaridhiana vipi na mtu anayetaka upige magoti?