Wanasiasa wa ccm huwa wananikera hapa tu wanapoamua kutuona wananchi wote hatuna akili! Yaani sababu ya kupata kura za mchongo milioni 32, ambazo ni sawa na 97.66%!! Zilitokana na tume "huru" ya uchaguzi kuweka vituo vingi vya watu kupiga kura!!!
Hii huu uongo wanawadanganya akina nani? Mbona hao watu hawakuonekana hiyo siku pamoja na uwepo wa hivyo vituo vingi vya kupigia kura? Na vipi kuhusu wasimamizi waliokiri wenyewe kuwapigia watu kura ili malengo yatimie kutokana na watu wengi kususia hilo zoezi?