Hili ni bonge la fursa.

Hili ni bonge la fursa.

bereng

Senior Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
114
Reaction score
21
Habari wana JF,
Hii ni fursa ya pekee kwa watu wanaopenda kufanya biashara isiyo na risk, biashara ya karne ya 21. Ni biashara ambayo mtu anaweza kuifanya huku anafanya shaghuri yake ya sasa. Ni biashara ya kimataifa na inaanzwa kwa kuwekeza kidogo na kupata mafanikio makubwa kwa muda mfupi endapo itafanyika kwa kujituma na kutumia mbinu sahihi atakazoelezwa.
Ni biashara ya mtandao inayoweza kubadili maisha yako.

ukiwa mwanafunzi, mwajiriwa, umejiajiri au usiyekuwa na ajira kwa mtaji usiozidi laki 8 unaweza kufanya biashara kubwa na ikabadilisha maisha yako kabisa. tunachokifanya ni kukupatia semina ya mbinu za hii biashara na kukusaidia ili uweze kufanikiwa. kwa wale wanaohitaji ambao kweli wako serious wanaojua nini wanahitaji katika maisha yao naomba wanitumie email kupitia;
globallifechanging@gmail.com​
kama hujuwi nini unachohitaji katika maisha yako na hauko serious tafadhari usiniandikie email.
Asanteni.
 
Tayari umejidhihirisha kwamba uko emotional, desparate and frustrated. Sina mtazamo kwamba unaweza kuongoza watu ila naona kama unaweza kutumia watu napo kwa muda mfupi sana.

Ukionyesha kuwa na settled mind, nitakuandikia na nitakupa watu wengi sana tunaohitaji maisha bora lakini si katika hali uliyonayo sasa. Utafrustrate watu wengine. Samahani kwa kukuambia mtazamo wangu.
 
Jamaa katokomea kizani! Kweli njia ya muongo fupi.
 
Habari wana JF,
Hii ni fursa ya pekee kwa watu wanaopenda kufanya biashara isiyo na risk, biashara ya karne ya 21. Ni biashara ambayo mtu anaweza kuifanya huku anafanya shaghuri yake ya sasa. Ni biashara ya kimataifa na inaanzwa kwa kuwekeza kidogo na kupata mafanikio makubwa kwa muda mfupi endapo itafanyika kwa kujituma na kutumia mbinu sahihi atakazoelezwa.
Ni biashara ya mtandao inayoweza kubadili maisha yako.

ukiwa mwanafunzi, mwajiriwa, umejiajiri au usiyekuwa na ajira kwa mtaji usiozidi laki 8 unaweza kufanya biashara kubwa na ikabadilisha maisha yako kabisa. tunachokifanya ni kukupatia semina ya mbinu za hii biashara na kukusaidia ili uweze kufanikiwa. kwa wale wanaohitaji ambao kweli wako serious wanaojua nini wanahitaji katika maisha yao naomba wanitumie email kupitia;
globallifechanging@gmail.com​
kama hujuwi nini unachohitaji katika maisha yako na hauko serious tafadhari usiniandikie email.
Asanteni.

You are on the wrong forum brother. Hapa ni JF......!
 
Back
Top Bottom