- Thread starter
- #21
NdiyoUnasema 2002 ulikua secondary?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdiyoUnasema 2002 ulikua secondary?
Nilidhani ulimla binti wa watu.Mwaka 2002 nikiwa kijana mdogo wa sekondari nilifanya jambo la kipuuzi sana na ilikuwa dhambi. Nakumbuka ilikuwa ni kipindi cha likizo ya mwezi wa 6. Kwa miaka yote 6 ya sekondari sikuwahi kusoma tuition kabisa na ilikuwa kila likizo lazima tukutane na program za kazi baba kashaziandaa. Likizo nzima ilikua kazikazi hakuna tuition. Bahati nzuri form IV na VI sikufeli.
Kwenye likizo hiyo nilipangiwa kwenda Karatu kwenye shamba la ngano kupambana na ndege aina ya kwelea kwelea. Ilikuwa sio kazi ngumu ila ni ya kushinda shamba siku nzima kufukuza kwelea kwelea. Na shamba lilikuwa na umbali mrefu toka nilipokuwa nakaa. Sasa siku moja mida kama ya saa 10 kasoro jioni nikiwa narudi maskani ndo njiani nikakuta nyumba ya mwanakijiji mmoja kuna sherehe ya harusi ya binti yao. Ikumbukwe sherehe za kijijini hasa kwa miaka ile haikuwa na mambo ya mialiko wala kadi. Wanakijiji wote ruksa kujichanganya na kusherehekea. Mimi pia kutokana na njaa plus kiu nikaona hii ni fursa adhimu sana. Na hapo nilikuwa kwenye umri wa balehe njaa kama zote halafu NO AIBU.
Bahati nzuri nilifika ndo wanataka kuanza kula. Kulikuwa hakuna ishu za bufee. Ni vijana walikuwa wanabeba sahani na kuwagawia watu waliokuwa wamekaa sehemu mbalimbali hasa chini ya miti. Mimi nilipopewa sahani yangu nikagundua wameweka kidogo sana kwa nia ya kila mtu apate japo kidogo. Akili ikanijia ya kujiunga na wale vijana wagawaji wa msosi kwa nia ambayo ilikua ovu. Nakumbuka ni sahani moja tu niligawa. Zingine kama 3 nilijigawia mwenyewe. Nikatoka hapo nimeshiba kupindukia.
Kiukweli lile lilikuwa jambo baya sana lisilokuwa tofauti na ufisadi serikalini. Mtu anajigawia pesa za umma bila aibu na kuzitafuna mwenyewe. Kwa vyovyote nilichokifanya kitakuwa kilisababisha baadhi ya wanakijiji wasipate chakula kwenye ile sherehe. Mimi natubu kila mara kwa hiyo dhambi niliyofanya miaka 22 iliyopita.
Habari za masikuPika chakula ukagawe kwenye hicho kijiji, hakikisha kila mtu anapata hapo utapata amani ya nafsi.
Nilizani hapo ulikula mtu 😂😂😂ila huna aibu good kama mimi vile 😂😂Mwaka 2002 nikiwa kijana mdogo wa sekondari nilifanya jambo la kipuuzi sana na ilikuwa dhambi. Nakumbuka ilikuwa ni kipindi cha likizo ya mwezi wa 6. Kwa miaka yote 6 ya sekondari sikuwahi kusoma tuition kabisa na ilikuwa kila likizo lazima tukutane na program za kazi baba kashaziandaa. Likizo nzima ilikua kazikazi hakuna tuition. Bahati nzuri form IV na VI sikufeli.
Kwenye likizo hiyo nilipangiwa kwenda Karatu kwenye shamba la ngano kupambana na ndege aina ya kwelea kwelea. Ilikuwa sio kazi ngumu ila ni ya kushinda shamba siku nzima kufukuza kwelea kwelea. Na shamba lilikuwa na umbali mrefu toka nilipokuwa nakaa. Sasa siku moja mida kama ya saa 10 kasoro jioni nikiwa narudi maskani ndo njiani nikakuta nyumba ya mwanakijiji mmoja kuna sherehe ya harusi ya binti yao. Ikumbukwe sherehe za kijijini hasa kwa miaka ile haikuwa na mambo ya mialiko wala kadi. Wanakijiji wote ruksa kujichanganya na kusherehekea. Mimi pia kutokana na njaa plus kiu nikaona hii ni fursa adhimu sana. Na hapo nilikuwa kwenye umri wa balehe njaa kama zote halafu NO AIBU.
Bahati nzuri nilifika ndo wanataka kuanza kula. Kulikuwa hakuna ishu za bufee. Ni vijana walikuwa wanabeba sahani na kuwagawia watu waliokuwa wamekaa sehemu mbalimbali hasa chini ya miti. Mimi nilipopewa sahani yangu nikagundua wameweka kidogo sana kwa nia ya kila mtu apate japo kidogo. Akili ikanijia ya kujiunga na wale vijana wagawaji wa msosi kwa nia ambayo ilikua ovu. Nakumbuka ni sahani moja tu niligawa. Zingine kama 3 nilijigawia mwenyewe. Nikatoka hapo nimeshiba kupindukia.
Kiukweli lile lilikuwa jambo baya sana lisilokuwa tofauti na ufisadi serikalini. Mtu anajigawia pesa za umma bila aibu na kuzitafuna mwenyewe. Kwa vyovyote nilichokifanya kitakuwa kilisababisha baadhi ya wanakijiji wasipate chakula kwenye ile sherehe. Mimi natubu kila mara kwa hiyo dhambi niliyofanya miaka 22 iliyopita.
Ndo maana ufisadi hautakaa uishe.. kosa kubwa linaanzaga kidogo kidogo.Kumbe ni kosa dogo kiasi hicho.
Kuna vitu vinachekesha sana !
je wewe uliegawa marinda amani yanafsi utaipataje?Pika chakula ukagawe kwenye hicho kijiji, hakikisha kila mtu anapata hapo utapata amani ya nafsi.