Hili ni jambo la kijinga na dhambi niliyowahi fanya ambayo naijutia sana

Nilidhani ulimla binti wa watu.
 
Hongera mkuu dah hiyoo dhambi ni kubwa mpka inakutesa kwelii una kitu cha Mungu wengine huku tunadhambi za ajabu mpaka hatuwezi ata kumueleza mtu zaidi ya Mungu tuu.
 
Nilizani hapo ulikula mtu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ila huna aibu good kama mimi vile πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ufisadi serikalini huanza kwa ubinafsi kama huo.
Ni vema kwamba umejutia na kutubu.
Mwenyezi Mungu akusamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…