matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Nilikiwa STD 6.
Kuna Binti mmoja alikuwa amekamilika kila idara.
Alikuwa mlimbwenda
Kiakili (Darasani)
Kimaumbile.
Kisura.
Kiroho
Kimaadili
Kilugha ( Hakuna aliyekuwa anamkaribia ENGLISH Aliwazidi hadi walimu wa St Kayumba yetu).
Kiuchumi ( Ndio mwanafunzi pekee aloyekuwa analetwa na Pijoti ya baba yake TZA ).
Wakuu japo ni dhambi kwa mtoto wa shule ya msingi Kupenda. Nilimtamani kiasi cha kushindwa nifanyeje. Baada ya Kujifunza topic ya Kupatwa kwa Jua. Nikaamini Jua Likipatwa kunakuwa na giza totoro.
Sasa nikawa namlia timing na kuomba jua lipatwe tu mimi namkimbilia yeye moja kwa moja nafanya yangu hata ikibidi kubaka.
Wazo hili la kijinga, la kipumbavu, la kipuuzi nalilaani.
Mkuu Uzi huu ni kwa ajili ya mawazo ya kijinga kabisa ambayo uliwahi kuyawaza.
Usijifanye mstaarabu kila mtu hata Wakina Einstain walikuwa wanawaza ujinga mara kadhaa.
karibu