Hili ni jambo moja la kijinga kabisa nilikuwa naliwaza enzi zangu. Uliwahi kuwaja jambo gani la kijinga kabisa

Niliwaza ifikapo 2019 mwezi WA 10 niache pombe kabisa niendelee na research zangu za kisayansi na elimu vitendo maana nili stop nlipoanza kunywa nikashindwa kupata boarding pass ya kwenda nchi Fulani kwa kuugua ugua kisa pombe

Imagine ni wazo la kipuuzi Sana unaachaje pombe
Dah...kweli bana...vilaza hawajui unalea familia ngapi pale TBL....ma flyover yote yanajengwa kwa kodi inayotokana na pombe....halafu itakuja mipuuzi hapa itasema eti ukinywa pombe usiendeshe...wakati hata hawajui hiyo pesa ya kujenga barabara inatoka wapi..shubaaamit
😀 😀
 
We ni miongoni mwa watu wenye busara huku jamii forums mkuu
 
Back
Top Bottom