Hili ni janga la Kitaifa kwa Mabinti waliopo kwenye Ndoa!

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
HILI NI JANGA LA KITAIFA KWA MABINTI WALIOPO KWENYE NDOA!😭💔

Wanawake wanaokubali kuingiliwa kinyume na maumbile katika ndoa zao ni wengi, tena wengi ni mabinti wa kuanzia miaka 22 mpaka 27, ndiyo kwenye ndoa, achana na wale wa mtaani.

Unakluta mwanuame ni Malaya mke kamfumania mata kibao! Anapokuja kwa mke wake, anamuambia, “Ukinipa kinyume nitakupenda, sitachepuka kwa sababu kinachonifanya kuchepuka huko nje ni kwa sababu nimezoea kufanya nyuma, huku mbele sifurahii!”

Dada akiamini kwamba analinda ndoa anamkubalia. Labda niwafafanulie, tofauti ya kufanya kinyume na maumbile ukiwa kwenye ndoa au huko mitaani ni hivi, ukiwa nje ya ndoa, hujaoa au umeoa lakini unafanya na mchepuko, huwezi kufanya kila siku. Unaweza kufanya kwa mwezi hata mara moja, mbili au tatu.

Lakini kwenye ndoa, mume akishaanza kukuingilia, itakuwa ni suala la kila siku, wakati mitaani mwanamke anaweza kukaa miaka 5 bila madhara, kwenye ndoa ukivumilia sana ni miaka miwili. Wengi wanaofanya mapenzi kinyume na maumbile kwenye ndoa zao wanajikuta ni mwaka mmoja tu wameshaharibika.

Wanawake hamjui kujisafisha. Iko hivi, mwanaume ukifanya naye akamwagia huko, uke wa mwanamke una namna ya kujisafisha, utoa uchafu wake mwenyewe, lakini huko nyuma hakuna namna ya kujisafisha, kuna mikunjo mikunjo mingi ambayo shahawa zinakaa huko, hivyo usipojua kujisafisha vizuri basi shahawa zinakaa muda mrefu na kuoza.

Zinatengeneza bakteria wanaowasha ndiyo wanakulazimisha ufanye kila siku na baada ya mwaka umeshaharibika. Ukishaharibika tu mwanaume anahamia kwa mwanamke mwingine na anakuacha, na kwa kuwa hakuna mtu anataka kuishi na hiyo harufu, kwa sababu kushapanuka sana, unaachwa.

Naongea kwa uchungu kwa sababu kwa wiki sipokei chini ya meseji 10, yaani mabinti 10, wapo kwenye ndoa kuanzia miaka 22 mpaka 27, tayari wameachika kwakua wahsaharibika, kuna ambao washapewa talaka na wengine unakuta mume kamtelekeza hapo tu hata kumgus ahataki!

Kuna KUKU wengi sana, na wanavumilia kwakua hawana pakwenda!
 
Un

Unapokea sms hizo wewe kam nani?
 
Huyo mwanaume anayefumaniwa kisha baadae anamwambia mke wake ukinipa haramu hatatoka nje na atampenda mke wake, si alifumwa na mwanamke ambaye ni mke wa mtu wa baadae? Suala la mwanaume kufirimna ni somo alilojifunza kwa wanawake wale wanaosema akifanywa nyuma anafurahi zaidi na inamwepusha na mimba 🙄
 
Wanawake hamjui kujisafisha. Iko hivi, mwanaume ukifanya naye akamwagia huko, uke wa mwanamke una namna ya kujisafisha, utoa uchafu wake mwenyewe, lakini huko nyuma hakuna namna ya kujisafisha, kuna mikunjo mikunjo mingi ambayo shahawa zinakaa huko, hivyo usipojua kujisafisha vizuri basi shahawa zinakaa muda mrefu na kuoza.

Zinatengeneza bakteria wanaowasha ndiyo wanakulazimisha ufanye kila siku
na baada ya mwaka umeshaharibika. Ukishaharibika tu mwanaume anahamia kwa mwanamke mwingine na anakuacha, na kwa kuwa hakuna mtu anataka kuishi na hiyo harufu, kwa sababu kushapanuka sana, unaachwa.
JamiiCheck hili suala embu mliweke bayana, soga ni nyingi hakuna taarifa sahihi
 
Back
Top Bottom