Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Sijui ni watu wana stress, ulimbukeni, ujinga, utani uliopitiliza au wao ndio maofisa wa upinde sasa.
Maana mindset ya mtu ni view ya mwenendo wa mtu. So unapokuwa unamlopokea mwenzako namna hio usikute mambo ya upinde ndio jadi kwako either wewe ni bwana wa mtu au wewe ni bibie wa mtu, so kuyatamka mambo kama hayo ni kawaida kwa maana ndio muenendo wako.
Acheni ushamba, watu wamekuwa inspired na watu na maisha yao yamebadirika for good.