Hili ni jaribio la 3 la Clouds FM kumshusha Diamond, naamini utashinda tu


Kwa hiyo Ommy ni baba wa kambo wa Mond?
 
ndo dharau zenyewe hizi,

kumbe ninyi ndo mnamfundisha dharau

Akifa shekhe kazi ya Mungu
Akifa mlevi sababu ya Pombe
Hahahahahah wameishiwa hao umenichekesha sana kwa hiyo kashuka Domo kwa ajili ya Mange kapaa KING kwa ajili Ruge ukweli ni kwamba dogo target zake za kiboya na roho yake ya jivu ndio vinavyomtumbukiza shimoni
 
Domo alikosea sana kumaliza tofauti zake na davido mana kipindi hicho alikuwa domo vs davido nani mkali na ilimkuza sanaa kimataifa nasikitika sanaa yukwapi yule mondi wakufanananishwa na davido na kina wizkid
Kwahiyo mnakubali kwamba msanii wenu anakuzwa na bifu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha sana, angekuwa mkali angeendelea kushindana nao kwa nyimbo na sio bifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We kweli bwege mtozeni! Hilo bakuli lenu lina ngoma gani kali kumshinda mod? Kwenye matuzo hilo bakuli likae mbali kabisa na kwenye success hapo ndio kabisaaa hilo bushman likacheze na matembo yake tu!
Hahahaaa sikupatii unaposeduce sa hv, mkuu punguza hasira halafu take it easy, yaani kiba toka wimbo wake wa kwanza sinderela mpaka huu wa sasa seduce me hakuna wimbo ulowahi kuchuja ..ukipigwa popote tu lazma utingishe kichwa, kitu Kama Mac muga , mapenzi yana run dunia, naksh naksh , mwanadsm, AJE, aaah kiba ni firee aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu mm hiyo signature ndo inaniachaga hoi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ata mm nashangaa sn mtu anamtukana na kumdharau mwenzake but still watu bado hawaoni wala kuckia, wanafagilia upuuzi tu. Mungu wetu sote na ipo cku Mondi atalia na kuomboleza kwani ogopa sn kumchokoza mtu ambae hakujib Mungu akinib mmmhhh nj balaaa. Ktk hili linaloendelea ndio nmeamini kua kweli mond anamchukia sn king

Sent using Jamii Forums mobile app
 
King yupi
 
Aiseee so nice point jomoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaani kuna mijitu haina akili we unadhani anayedhaminiwa na adidas atafanya Kazi na Nike?
vivyo hivyo fiesta ni Tigo diamond ni vodacom
 
Hizo nyimbo seduce na zilipendwa ni nyimbo ambazo haziendani kuna ya uswahilini na ya waliostaarabika. Huku jf lazima seduce isumbue ila ukienda uswahili huko zilipendwa inasumbua so ieleweke tu mjini huku acha tufurahi na seduce me na huko uswahili acha wafurahi za zilipendwa. Hakuna nyimbo kati ya hizi itakayopendwa na watu wa aina yote atleast kiba alivyotoa seduce me ndipo Mondi nae angekua ametoa Fire au Eneka au Marry you.
Ila kwa hizi fresh remix na zilipendwa hazioni ndani kwa seduce me huo ndio ukweli.
Uko uswahilini zilipendwa itapigwa sana ingawa itapambana na singeli
 
Nyimbo ya Sep. 1 ni Patoranking ft Diamond so wcb hawausikii na lini wimbo utatoka na uzuri huu wimbo utatembea afrika nzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…