Nje ya box
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 241
- 251
Asante sanaSifuatilii mziki ila umeongea mambo ya msingi sana. Dogo inabidi apitie hapa
Unalala na mwanamke unamtia mimba alafu badae unakuja kumuita Bitch?Diaomond hiyo umekwaaza wanawake karibia wotee sio hamisa tu.Binafsi nilikua fan wako mkubwa tu.Sifa zimekuzidi sana kijana unaanza kua mpuuz flan.
Wapi alisema wanawake wa bongo ni vichupi kunuka? Hivi wanawake wa Tanzania mna matatizo gani? Diamond alisema "kuna vichupi kunuka walikua wanamsakama na kumsema Zari vibaya mitandaoni kisa Diamond alimpeleka Zari vacation Mombasa". Haya katika hiyo sentensi ni wapi ametaja wanawake wa bongo ni vichupi kunuka? Unless wewe ulikua mmoja wa waliokua wanamsimanga Zari mtandaoni. Haki, watanzania acheni wivu usio na maendeleo.
Kumbe na wewe ulikua unamsakama na kumsema vibaya Zari mtandaoni kisa kapelekwa vacation baada ya mama yake kufa? Maana walioitwa vinuka chupi ni hao wanaoshinda kumsakama Zari kila siku mtandaoni, sikujua na wewe ulikua mmoja wao.Alisema tunanuka vyupi, i hate him.
Kiba ameanza kufanikiwa wapi exactly ambapo kuna mfanya Diamond awe na wivu? Hivi unajua mafanikio aliyonayo Diamond au unaandika tuu? Mnayakuza sana haya, hata kama D na Kiba hawapatani lakini nyie mashabiki mnakuza na kutengeneza reasons za beef ambazo hazipooo. Nani anakumbuka ile ishu ya Kiba kuzimiwa microphone kwenye show ya Chris Brown Kenya? Kiba akarudi bongo akaanza kusema Salaam alikua back stage sijui nini, kumbe alizimiwa microphone kwasababu ya time iliisha na Chris alikua anatakiwa aondoke. Yeye akaona Salaam ndio kamfanyia figisu. Hayo hamuyaoni.Toka zamani diamond ndo alikuwa mgomvi sema ilikuwa chinichni na kiba alikuwa hajaanza kukubalika sanasana nje sasa baada ya kuona kiba anaanza kufanikiwa uvumilivu umemshinda akalitua pwaaa ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyekwambia zimebuma nani? Labda kwako wewe, usigeneralise, sema in your opinion.Sasa kama yeye ametoa nyimbo 3 kaona zimebuma kwa nini alikuwa anahangaika kumuamsha aliyelala mwaka mzima?
Kunywa soda mkuu. Hayo mengine ni yao. Walianza kumtukana Zari immediately alivyoanza kudate na Diamond. Hawakutaka Zari au Diamond ajibu, wakijibiwa eti wametukanwa. Huyo Hamisa kuitwa Bitch, she deserves it. Hayo mambo yao ya ndani anayaleta mtandaoni na kujionyesha amempa mtoto jina la Naseeb, ina husu nini?Huu uongo.zari ndio kasaidia kumbland diamond awe mfanyabiashara.hayo mengine ni mambo yenu ya uswahilini
Amen. Hata mimi nampenda Ali na nasikiliza nyimbo zake lakini in my opinion Diamond is now an African Brand, which Ali Kiba is not.Mleta mada umemaliza kila kitu....East Africa hakuna msanii mkubwa kama Diamond akifatiwa na Josee Chameleon kwa mbali. ..Diamond yupo level za kina Wizkd. ..Davido. ..Tekno. .Tiwa Savaga na wengneo wakubwa. ..hizo team za kwenye Instagram na Hao Mawingu uliowataja zitamfanya Ali Kiba ajisahau kiukweli huwezi kumlinganisha Diamond na Ali Kiba ata nusu. .narudia tena ni sawa na kusema Leicester city ni wazur kuliko Man City /Arsenal au Man Utd kisa mwaka juzi walibeba England Premier league. ..Watu wasifkrie kudowload single ya Ali Kiba Kwenye YouTube /Vevo mara nyingi itamfanya Diamond kushuka. ..binafsi nawakubali wote lakini mpaka sasa sijaona cha maana kwenye hii single ya Ali Kiba zaidi imejaa giza kwenye video...DIAMOND ENDELEA KUWA NA MSIMAMO USKUBALI MALIPO CHEAP WEWE NI BRAND YA AFRICA
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania wp hao, jisemee nwenyewe aroo!Umejitahidi kuonyesha uwezo wako unapofikia, mie napenda muziki mzuri napenda nyimbo nzuri alizoimba mond na alikiba. Lakin kwa alichokifanya mond ni cha kuanzisha bifu la kijinga ili alikiba akitoa nyimbo ibume. Kadhihirisha ana roho mbaya na Mungu huwapinga wenye kiburi na kujikweza kweli kaabika vibaya na wale mashabiki ambao yanashabikia hata ujinga sawa tu. Mziki wa kiba Ni level nyingine kabisa umchukie umkubali watanzania wamesema yes.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikia nikwambie sasa diamond ana roho ya kibinafsi hataki hata msanii mwingine asikike lkn kiba kakubalika na mashabiki kutokana na uimbaji na mpangilio wa melody , sasa huyo diamond akiona hivo hataki na roho yake ya kisokorokwinyo , kuhusu mafanikio yao mm cjui maana hakuna nayemtunzia hela kati yao ila swali je kama mond anamzidi kila kitu kiba kwann amchukie??kwann amuumize kichwa?? Kwann amchokoze upya wakati bifu hilo ss tushalisahau?? Naomba majibu yenye mashikoKiba ameanza kufanikiwa wapi exactly ambapo kuna mfanya Diamond awe na wivu? Hivi unajua mafanikio aliyonayo Diamond au unaandika tuu? Mnayakuza sana haya, hata kama D na Kiba hawapatani lakini nyie mashabiki mnakuza na kutengeneza reasons za beef ambazo hazipooo. Nani anakumbuka ile ishu ya Kiba kuzimiwa microphone kwenye show ya Chris Brown Kenya? Kiba akarudi bongo akaanza kusema Salaam alikua back stage sijui nini, kumbe alizimiwa microphone kwasababu ya time iliisha na Chris alikua anatakiwa aondoke. Yeye akaona Salaam ndio kamfanyia figisu. Hayo hamuyaoni.
Hivi kuna selfish kama kibakuli?Huyo kibakuli kaanza game long tym lakini D kaanza juzi kati kawa back up madogo kibao hadi wametoka mf.Rayavany ,harmonize Ana watu kibao wanao mtegemea sasa hilo bakuli kiba zaidi ya kumtoa Kibakuli mwenzake abdulibakuli nani mwengine kamtoa?D hadi wakongwe akina Saida Karoli still anawapa support,mzee Gurumo R.I.P ashaa wai nunuliwa gari na D!Huyu bwege kibakuli kaziyake ni kunyata kula madem D alokula tu ndio achojua!Sikia nikwambie sasa diamond ana roho ya kibinafsi hataki hata msanii mwingine asikike lkn kiba kakubalika na mashabiki kutokana na uimbaji na mpangilio wa melody , sasa huyo diamond akiona hivo hataki na roho yake ya kisokorokwinyo , kuhusu mafanikio yao mm cjui maana hakuna nayemtunzia hela kati yao ila swali je kama mond anamzidi kila kitu kiba kwann amchukie??kwann amuumize kichwa?? Kwann amchokoze upya wakati bifu hilo ss tushalisahau?? Naomba majibu yenye mashiko
Sent using Jamii Forums mobile app
Bonge la point nnadhani alishindwa kulielewa hiliMi nachojua kua diamond ana mkataba na Voda ilhali fiesta inadhaminiwa na tigo, hebu jiongeze
Unachanganya madesa sasa.Huku kitaa ni zilipendwa tu ndio inatamba.
Nachojua mimi Watanzania tuna tabia ya kumchukia mtu aliyefanikiwa bila sababu msingi.
Chuki ni mbaya na humnyima mtu huru wa mawazo.
Wasafi ni kama ccm tu kwa jinsi wanavyokubalika kitaa