Hili ni jaribio la 3 la Clouds FM kumshusha Diamond, naamini utashinda tu

Hili ni jaribio la 3 la Clouds FM kumshusha Diamond, naamini utashinda tu

Unalala na mwanamke unamtia mimba alafu badae unakuja kumuita Bitch?Diaomond hiyo umekwaaza wanawake karibia wotee sio hamisa tu.Binafsi nilikua fan wako mkubwa tu.Sifa zimekuzidi sana kijana unaanza kua mpuuz flan.

Una uhakika alilala nae? Ulikuwepo wakati ana lala nae au ni maneno tu ya mtandaoni unayaamini?
 
OK

wanawake Wa bondo vichupi kunuka

invest what you are willing to lose
Wapi alisema wanawake wa bongo ni vichupi kunuka? Hivi wanawake wa Tanzania mna matatizo gani? Diamond alisema "kuna vichupi kunuka walikua wanamsakama na kumsema Zari vibaya mitandaoni kisa Diamond alimpeleka Zari vacation Mombasa". Haya katika hiyo sentensi ni wapi ametaja wanawake wa bongo ni vichupi kunuka? Unless wewe ulikua mmoja wa waliokua wanamsimanga Zari mtandaoni. Haki, watanzania acheni wivu usio na maendeleo.
 
Alisema tunanuka vyupi, i hate him.
Kumbe na wewe ulikua unamsakama na kumsema vibaya Zari mtandaoni kisa kapelekwa vacation baada ya mama yake kufa? Maana walioitwa vinuka chupi ni hao wanaoshinda kumsakama Zari kila siku mtandaoni, sikujua na wewe ulikua mmoja wao.
 
80841ea988f819ed7e88ff080d2ea32e.jpg
 
Toka zamani diamond ndo alikuwa mgomvi sema ilikuwa chinichni na kiba alikuwa hajaanza kukubalika sanasana nje sasa baada ya kuona kiba anaanza kufanikiwa uvumilivu umemshinda akalitua pwaaa ..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiba ameanza kufanikiwa wapi exactly ambapo kuna mfanya Diamond awe na wivu? Hivi unajua mafanikio aliyonayo Diamond au unaandika tuu? Mnayakuza sana haya, hata kama D na Kiba hawapatani lakini nyie mashabiki mnakuza na kutengeneza reasons za beef ambazo hazipooo. Nani anakumbuka ile ishu ya Kiba kuzimiwa microphone kwenye show ya Chris Brown Kenya? Kiba akarudi bongo akaanza kusema Salaam alikua back stage sijui nini, kumbe alizimiwa microphone kwasababu ya time iliisha na Chris alikua anatakiwa aondoke. Yeye akaona Salaam ndio kamfanyia figisu. Hayo hamuyaoni.
 
Huu uongo.zari ndio kasaidia kumbland diamond awe mfanyabiashara.hayo mengine ni mambo yenu ya uswahilini
Kunywa soda mkuu. Hayo mengine ni yao. Walianza kumtukana Zari immediately alivyoanza kudate na Diamond. Hawakutaka Zari au Diamond ajibu, wakijibiwa eti wametukanwa. Huyo Hamisa kuitwa Bitch, she deserves it. Hayo mambo yao ya ndani anayaleta mtandaoni na kujionyesha amempa mtoto jina la Naseeb, ina husu nini?
 
Mleta mada umemaliza kila kitu....East Africa hakuna msanii mkubwa kama Diamond akifatiwa na Josee Chameleon kwa mbali. ..Diamond yupo level za kina Wizkd. ..Davido. ..Tekno. .Tiwa Savaga na wengneo wakubwa. ..hizo team za kwenye Instagram na Hao Mawingu uliowataja zitamfanya Ali Kiba ajisahau kiukweli huwezi kumlinganisha Diamond na Ali Kiba ata nusu. .narudia tena ni sawa na kusema Leicester city ni wazur kuliko Man City /Arsenal au Man Utd kisa mwaka juzi walibeba England Premier league. ..Watu wasifkrie kudowload single ya Ali Kiba Kwenye YouTube /Vevo mara nyingi itamfanya Diamond kushuka. ..binafsi nawakubali wote lakini mpaka sasa sijaona cha maana kwenye hii single ya Ali Kiba zaidi imejaa giza kwenye video...DIAMOND ENDELEA KUWA NA MSIMAMO USKUBALI MALIPO CHEAP WEWE NI BRAND YA AFRICA

Sent using Jamii Forums mobile app
Amen. Hata mimi nampenda Ali na nasikiliza nyimbo zake lakini in my opinion Diamond is now an African Brand, which Ali Kiba is not.
 
Ila sijui kwa nn kuna kasumba hii hususani kwa sisi waafrica huwa mtu anamchukia mwenye mafanikio pasi na sababu.
 
Umejitahidi kuonyesha uwezo wako unapofikia, mie napenda muziki mzuri napenda nyimbo nzuri alizoimba mond na alikiba. Lakin kwa alichokifanya mond ni cha kuanzisha bifu la kijinga ili alikiba akitoa nyimbo ibume. Kadhihirisha ana roho mbaya na Mungu huwapinga wenye kiburi na kujikweza kweli kaabika vibaya na wale mashabiki ambao yanashabikia hata ujinga sawa tu. Mziki wa kiba Ni level nyingine kabisa umchukie umkubali watanzania wamesema yes.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania wp hao, jisemee nwenyewe aroo!
 
Kiba ameanza kufanikiwa wapi exactly ambapo kuna mfanya Diamond awe na wivu? Hivi unajua mafanikio aliyonayo Diamond au unaandika tuu? Mnayakuza sana haya, hata kama D na Kiba hawapatani lakini nyie mashabiki mnakuza na kutengeneza reasons za beef ambazo hazipooo. Nani anakumbuka ile ishu ya Kiba kuzimiwa microphone kwenye show ya Chris Brown Kenya? Kiba akarudi bongo akaanza kusema Salaam alikua back stage sijui nini, kumbe alizimiwa microphone kwasababu ya time iliisha na Chris alikua anatakiwa aondoke. Yeye akaona Salaam ndio kamfanyia figisu. Hayo hamuyaoni.
Sikia nikwambie sasa diamond ana roho ya kibinafsi hataki hata msanii mwingine asikike lkn kiba kakubalika na mashabiki kutokana na uimbaji na mpangilio wa melody , sasa huyo diamond akiona hivo hataki na roho yake ya kisokorokwinyo , kuhusu mafanikio yao mm cjui maana hakuna nayemtunzia hela kati yao ila swali je kama mond anamzidi kila kitu kiba kwann amchukie??kwann amuumize kichwa?? Kwann amchokoze upya wakati bifu hilo ss tushalisahau?? Naomba majibu yenye mashiko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa tutawasingizia clouds bila sababu mbona fiesta Rwanda moshi alienda,clouds imzime vipi mond wakati mmliki wa clouds ni business patner wake kwenye chibu parfume..?,sababu kubwa ya mond kutoshiriki fiesta mwaka jana ni uzamini,tigo walidhamini fiesta mwaka jana na Mond alikua balozi wa voda,ata mwaka huu kama mond bado ana mkataba na voda naamini hatoshiriki fiesta,inshu ya watangazaji kumdiss mond ni kitu cha kawaida tu mbona mtangazaji wa clouds diva hua anamdis mond miaka yote na mda huo huo mond anapiga biashara na Kusaga mmiliki wa clouds..?

mchawi ni Mond mwenyewe kacheza ngoma ya Kiba bila kujijua mpaka nahisi anajuta saivi kwa ile distrack,Mond alitoa ngoma makusudi kabisa kuizima Seduce me bila kujua anajipalia kaa la moto,bila ubishi kabisa seduce me ni mond mwenyewe kaipa kick bila kujijua

Mimi ni mshabiki wa mond ila kiukweli nahisi kabisa roho mbaya inamsumbua,Mond hua anataka mziki wa bongo isikike sauti yake tu na sio wengine watakaotishia ufalme wake,pia sio mara ya kwanza Mond kutoa nyimbo ili kuzima nyimbo ya msanii fulani ndio tabia yake

najiuliza hivi mameneja wake wote watatu waliruhusu vipi aweke ile mistari kwenye flesh remix na pia waliruhusu vipi ile ngoma iende hewani.?binafsi nadhani kabisa Sallam sk na babu tale ni watu pia wanaompotosha Mond

Naamin kabisa Mond ni msanii mzuri sana kuliko Kiba,mond ni mfanyabiashara mzuri kuliko kiba,mond ana soko zuri kuliko kiba,tatizo ni kua mond ni roho ya ubinafsi na hajajua kua ni yeye mwenyewe ndo anamuweka kiba kwenye midomo ya watu kwa kumtaja taja kwenye media ata mitandao na distrack
 
Sikia nikwambie sasa diamond ana roho ya kibinafsi hataki hata msanii mwingine asikike lkn kiba kakubalika na mashabiki kutokana na uimbaji na mpangilio wa melody , sasa huyo diamond akiona hivo hataki na roho yake ya kisokorokwinyo , kuhusu mafanikio yao mm cjui maana hakuna nayemtunzia hela kati yao ila swali je kama mond anamzidi kila kitu kiba kwann amchukie??kwann amuumize kichwa?? Kwann amchokoze upya wakati bifu hilo ss tushalisahau?? Naomba majibu yenye mashiko

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kuna selfish kama kibakuli?Huyo kibakuli kaanza game long tym lakini D kaanza juzi kati kawa back up madogo kibao hadi wametoka mf.Rayavany ,harmonize Ana watu kibao wanao mtegemea sasa hilo bakuli kiba zaidi ya kumtoa Kibakuli mwenzake abdulibakuli nani mwengine kamtoa?D hadi wakongwe akina Saida Karoli still anawapa support,mzee Gurumo R.I.P ashaa wai nunuliwa gari na D!Huyu bwege kibakuli kaziyake ni kunyata kula madem D alokula tu ndio achojua!
 
Huku kitaa ni zilipendwa tu ndio inatamba.
Nachojua mimi Watanzania tuna tabia ya kumchukia mtu aliyefanikiwa bila sababu msingi.
Chuki ni mbaya na humnyima mtu huru wa mawazo.
Wasafi ni kama ccm tu kwa jinsi wanavyokubalika kitaa
 
Unachanganya madesa sasa.
 
Back
Top Bottom