Hili ni jaribio la 3 la Clouds FM kumshusha Diamond, naamini utashinda tu

Yaani unavoandika unaonekana una roho mbaya sana kama msanii wenu au ni stress za joblessness kitaa hahahaaa maana hilo povu c LA nchi hii.. Tchaoo usisahau kuseduce maana nikisema niendelee kubishana na ww utajinyea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwerevu akivuliwa nguo huchutama......
[HASHTAG]#mshauribosswako[/HASHTAG].
Leo hii anawatukana wabunge na matajiri hapo hawazi kama show zake za m1 wao ndo walikuwa wanajaza viti. kesho akiitisha show wasipoenda utasema tena clouds wamewazuia watu wasiende....
BTW kabla sijasahau ulishahudhuria show ngapi zake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We bwege watu tuna kazi zetu nimekuliza maswali apo naona umeyakimbia kiaina tu kama jamaa yako kibakuli asivyojua kujieleza!
 
Naunga mkono hoja! Yani WCB wanachotaka kusifiwa wao tu,na inapotea akasiwa msanii mwengine mwenye kariba yao basi wanaanza figisufigusi kuwa wanataka kushushwa,wamesahau diamonda huyo huyo alipigiwa simu na rais akiwa hapo hapo clouds kwenye kipindi hikohiko.mbona hakukuwa na maneno mengi kutoka upande wa pili? Tuache husda na fitna,tunahitaji wasanii wengi zaidi wenye majina makubwa.kama asipopewa promo na media atapewa wapi?
 
Yani kwa sababu kiba alikaa mwaka mzima bila kusikika,aliposikia anatoa nyimbo na wao wakatoa a siku hiyohiyo,lengo halikuwa ni ushindani,lengo ilikuwa ni kuizima hiyo nyimbo ya kiba na apotee kabisa kwenye game,ukichukulia mwaka mzima alikuwa kimya,lkn mungu muweza nyimbo yao ya zilipendwa ika backfire kwa seduce me.Na lengo lao halikutumia kumpoteza kiba mazima.Chukulia wimbo wa seduce me ungezimwa na zilipendwa wa WCB,alikiba si ndo angeacha kabisa game.Na ndo maana wazalendo waliliona hilo,achana na wale wasiojielewa wafuata upepo walio ona ni sawa kwa WCB kufanya walichofanya.Hushangai kwa nini watu wazito wote walikuwa upande wa KIBA? Waliona kuna tatizo sehemu ambao WCB ndo chanzo.



" Jambo zuri likifanyika kwa nia ovu halifanikiwi"

hiko ndo kilichotokea kwa WCB,walitoa nyimbo kwa nia ovu sio ushindani.
 
Ma Advice Diamond usihudhurie Fiesta ya Dar Naona dalili za Mawingu na hzo team za Instagram kuzomea au kutafta kukuarbia tafta show za nje tarehe hizo clouds walizoea kuwapangia wasanii bei ya show na msanii akikataa wanamnyma Media Coverage sasa wewe ni Brand kubwa kuliko clouds wewe umesambaa Africa ...clouds imeishia Kigoma. ..Kagera na kusin pale mtwara. ..watakulipa Ela unayotaka kwa Dar ila huku moyon wakisononeka kwan wanajua bila wewe Diamond hakuna Fiesta Dar ila watakuhujumu ili uamini umeshuka status uanze kuwapgia magoti mbele ya safari. ..uskubali kushiriki watakuharbia cz watakua wameshapata pesa ya kiingilio tafta show kubwa nchi yeyote ....
 
Lini kawatukana wabunge na matajiri..acha umbeya wewe
 
Ni makosa makubwa kumfananisha Diamond na Alikiba

Narudia tena ni makosa makubwa sana


Level za alikiba ni Banana na wengine wa kariba hizo.

Hapo ni kimuziki si kiuchumi
 
[emoji184] anakakiburi flan ,anajifanya mstarabu cna kumbe ana uswahil na roho mbaya iliyo jificha, alie anzisha ugomvi ni yy mwenyewe alipo ona Kiba ka post neno kipusa na akili yao walijua nyimbo ya kiba itakua ina itwa kipusa kumbe wamepigwa chenga ya mwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…