Ama kweli huyu jamaaa Genius nlidhani najua mmi tu Genius peke yngu wew number 2
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihiMi nachojua kua diamond ana mkataba na Voda ilhali fiesta inadhaminiwa na tigo, hebu jiongeze
Yaani unavoandika unaonekana una roho mbaya sana kama msanii wenu au ni stress za joblessness kitaa hahahaaa maana hilo povu c LA nchi hii.. Tchaoo usisahau kuseduce maana nikisema niendelee kubishana na ww utajinyeaHivi kuna selfish kama kibakuli?Huyo kibakuli kaanza game long tym lakini D kaanza juzi kati kawa back up madogo kibao hadi wametoka mf.Rayavany ,harmonize Ana watu kibao wanao mtegemea sasa hilo bakuli kiba zaidi ya kumtoa Kibakuli mwenzake abdulibakuli nani mwengine kamtoa?D hadi wakongwe akina Saida Karoli still anawapa support,mzee Gurumo R.I.P ashaa wai nunuliwa gari na D!Huyu bwege kibakuli kaziyake ni kunyata kula madem D alokula tu ndio achojua!
We bwege watu tuna kazi zetu nimekuliza maswali apo naona umeyakimbia kiaina tu kama jamaa yako kibakuli asivyojua kujieleza!Yaani unavoandika unaonekana una roho mbaya sana kama msanii wenu au ni stress za joblessness kitaa hahahaaa maana hilo povu c LA nchi hii.. Tchaoo usisahau kuseduce maana nikisema niendelee kubishana na ww utajinyea
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja! Yani WCB wanachotaka kusifiwa wao tu,na inapotea akasiwa msanii mwengine mwenye kariba yao basi wanaanza figisufigusi kuwa wanataka kushushwa,wamesahau diamonda huyo huyo alipigiwa simu na rais akiwa hapo hapo clouds kwenye kipindi hikohiko.mbona hakukuwa na maneno mengi kutoka upande wa pili? Tuache husda na fitna,tunahitaji wasanii wengi zaidi wenye majina makubwa.kama asipopewa promo na media atapewa wapi?Dimond ni msanii mzuri na mkubwa kuanzia nyumbani mpaka nje...
Sema kuna vitu vidogo ambavyo anavyo yeye mpaka management yake kwa hadhi aliyokuwa nayo wala hakutakiwa kuvifanya kwa sasa..
Yeye na team yake hawapendi kuona msanii mwingine anachomoza kuwa juu zaidi yao.. wakati wanasahau kuna kipindi inafikia fans huwa wanapenda msanii mwingine awe juu kuleta ushindani.
Wapunguze skendo watoe music mzuri then watu wataupokea..
Kutegemea fitna na skendo watajishusha halafu wataanza kutafuta mchawi.
Siamini Kama Clouds wanataka kumshusha Mondi.
Yani kwa sababu kiba alikaa mwaka mzima bila kusikika,aliposikia anatoa nyimbo na wao wakatoa a siku hiyohiyo,lengo halikuwa ni ushindani,lengo ilikuwa ni kuizima hiyo nyimbo ya kiba na apotee kabisa kwenye game,ukichukulia mwaka mzima alikuwa kimya,lkn mungu muweza nyimbo yao ya zilipendwa ika backfire kwa seduce me.Na lengo lao halikutumia kumpoteza kiba mazima.Chukulia wimbo wa seduce me ungezimwa na zilipendwa wa WCB,alikiba si ndo angeacha kabisa game.Na ndo maana wazalendo waliliona hilo,achana na wale wasiojielewa wafuata upepo walio ona ni sawa kwa WCB kufanya walichofanya.Hushangai kwa nini watu wazito wote walikuwa upande wa KIBA? Waliona kuna tatizo sehemu ambao WCB ndo chanzo.Diamond ni msanii mzuri sana wapendwa lakini kuna kitu hivi karibuni kimezidi kumfanya apoteze mashabiki wake na kuongeza maadui yeye mwenyewe bila kujua
Kipindi cha hivi karibuni jamaa amekuwa ni mtu wa matusi ,majivuno ,vijembe kwa wasaniI wenzake na mashabiki zake
~kumwita hamisa bitch
~kuwaita mashabiki vichupi kunuka
~kumwambia dimpoz anapumuliwa
~kutoa remex kuwa hali vipusa
~kumchana kiba kwenye fresh remex
~kutoa nyimbo wakati mwenzake kashatoa ngoma
Yote hayo yamempotezea mashabiki wengi na kumuongezea maadui wengi tu bila yeye kujua
Kingine kinachomsababisha huyu kaka kupotea nI mahusiano yake na bibi zari tokea yaanze ndio yamezidi kumpotezea mashabiki kwani yamemfanya D kuwa mtu wa majivuno kisa zari, kashawatukana sana akina wema na hamissa,penny kisa zari so amuangalie vizuri huyu bibi ata?potezea fanz
Sent using Jamii Forums mobile app
Lini kawatukana wabunge na matajiri..acha umbeya wewemwerevu akivuliwa nguo huchutama......
[HASHTAG]#mshauribosswako[/HASHTAG].
Leo hii anawatukana wabunge na matajiri hapo hawazi kama show zake za m1 wao ndo walikuwa wanajaza viti. kesho akiitisha show wasipoenda utasema tena clouds wamewazuia watu wasiende....
BTW kabla sijasahau ulishahudhuria show ngapi zake?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120] [emoji120] [emoji106] [emoji106]Kamanda unaona kwa jicho la 3. Safi sana.
Baadhi ya wabongo tupo ivi;Ila sijui kwa nn kuna kasumba hii hususani kwa sisi waafrica huwa mtu anamchukia mwenye mafanikio pasi na sababu.
Jamaa mpka Leo hajawa vizuri..mwana fa snitch..jembe A.YAmuulize mwana FA kilichomkuta baada ya kuanzisha ligi na malkia JD. HAHAHAAAAAA
Sent using Jamii Forums mobile app