Hili ni jaribio la 3 la Clouds FM kumshusha Diamond, naamini utashinda tu

watanzania labda wa mitandaoni, huko mitaani ni zilipendwa tu hiyo seduce wala hatuisikii
 
all i can is, he has been here and done that so many times toka apate mafanikio, lakini mwisho wa siku diamond anabaki kuwa diamond.
 
Ww acha ujinga sasa mbona kiba kawa kimya zaid ya mwaka mzima hajatoa wimbo wowote unaanzaje kusema anashindana na mond , afu hata kiba sio wa bei Poa acha umbea.

Mwambie tu diamond kinacho mcost sasa hiv ni dharau zake ( rejea kauli zake za kuhusu tunzo za EATV ) na hizo redio sasa hiv zinasambaa sana mikoan East Africa redio wanasikilizwa mikoa mingi sasa, hivyo hivyo Efm na zingine kama ana wadharau hao lazima coverage ya nyimbo zake iwe kidogo

Japo nimependa ushauri wako 1 awe balanced kwenye media

Kiba anafanya mzik wake na huyo mond Ndiyo anaonesha ni mwenye roho mbaya na uswahili mwingi ( jiulize kwanin alitaka kumharibia kiba kwa kutoa ngoma siku moja na kiba kama ilikuwa ni kupima nani atafanya vizur majibu yamepatikana)

Ishu nyingine ukubal ukatae kuingia bifu na watoto wa kike lazima upoteee tu hao Ndiyo Mara nyingi wanasikiliza sana nyimbo zao hao wasaani na hata kwenye show Ndiyo wadau wazuri ( wanaume huwaga hatuna sana time kufuatilia nyimbo kutokana na majukumu ya kimaisha muda mwingi tupo bize ) sasa bwana mdogo tabia zake za kuwadharau hao wadada Ndiyo shida inaanzia hapo ( hao nasikia wana team zao ambazo zina nguvu sana na kwa umoja wao ni rahis kujenga ushawishi au kuharibu )

Namkubal diamond kama real fighter wa kusaka maisha lakin ukifanikiwa sio uwe jeuri na kuanza kudharau au kejeli kwa wale unaohis umewazidi na ishu ya mwisho inabid amkanyee mkewe apunguzee drama za kipuuz na majibu ya ovyo nazan wengi wanaweza kuwa wanamchukia kisa yule demu kwa kuonesha ana nyodo

Ishu ya muhimu arudi njia alizopita kujenga ushawishi mwanzon ( ishu ya bei ni haki yake kuweka bei kubwa ana team kubwa sasa akiweka bei kidogo atawezaje kuwalipa watu)


Kiufupi hawa wote ni vijana wa kitanzania mafanikio yao ni faida kwetu ila sio ubaya kuona kiba anaendelea kufanya vizur na kusema anamtegemea diamond hiyo ni kumvunjia heshima kiba ameanza kutoa hit song tokea enzi za 2005 had Leo ( rejea, cindelela, my everything n.k) kila mtu ana style yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umeongea point sana kiba hajaleta jipya lolote ktk bongo fleva bt anavyopaishwa mi nadhani mond astaafu mziki halafu tuone watampeleka wapi kiba wao

Sent from my Phillips Savy
Unasahau kuwa kiba ameanza kupendwa hata kabla ya mond kutoka

Hawa kila mtu ana mashabiki wake na mziki wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea ukwel kiufup management ya bwana mdogo wamekuwa hawana mbinu za kisasa za kufanya msaani wao aendelee kuvuma kwa muda mrefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nazan wameharibiwa na yule mganda wake nyodo na viburi mim binafsi nilikuwa nashangaa hata sallam ameanza hiz tabia za kijinga kupenda madongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoma ya Kiba ilipotoka mwanzo wakiidhihaki kwa kuwa bongo ishakuwa nomo kuiga pigo za kinaijeria now days, nlichogundua ni kwamba Kiba hapelekeshwi na soko la muziki bt yeye analipeleka soko anapotaka, na ndo maana mara nyingi huja na ngoma zenye mtindo tofauti na zile ambazo zinakuwa kwenye soko kwa kipind husika na hii ndo sababu pengine hadi leo hatujawah sikia mtu kulalamika kuibiwa wimbo au idea na Kiba, back to diamond n msanii mzur kama utamlinganisha na wasanii wengne tofauti na Kiba,barnaba,Belle 9, katika uimbaji haswa kwa upande wangu coz alichowazid hao jamaa ni pesa tu na siyo uwezo wa kuimba
 
Nahis kuna haja ya kuwa na maproducer pale zaid ya mmoja ili kuongeza radha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waambie wewe naona wa naongea tu afu kwa kuwasadia ni kuwa clouds ndiyo wamekuwa wanapiga vita kiba asirud hewan ( rejea ile tour yake na abdu kiba wakati anarud kwenye game la mziki walimpotezea sana)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…