Hili ni jaribio la 3 la Clouds FM kumshusha Diamond, naamini utashinda tu


Jombi yaonyesha hujitambui. Kinacho watenganisha Dai na Mawingu ni fiesta tu lakini mambo mengine wanaenda sawa. Na hii ni kwamba fiesta inadhaminiwa na tiGo wakati Dai yupo na Voda. Ukitaka kuthibitisha hili we angalia matukio yake mengi huwa anafungulia mawingu. Kama lile tukio la kumkubari mtoto wa Mobeto ali break hapohapo Mawingu ndiyo ikasambaa kote. Kama utasikiliza kwa makini kile kipindi cha kina Gea kama kimeandaliwa maalumu kwa Dai kutoa tangazo lake la Mtoto Abdul.Sasa madai ya Cloud wanapambana kumshusha Dai ni ya kupuuzwa. Na mawingu kumpaisha Kiba ni sawa,kwani wapo nae kwenye fiesta lazima wafanye hivyo ili kuvutia show yao ya fiesta.
 
Februari 2018 Maneno yako yametimia...
 
As long as vijana wanapata pesa thats good.Haya mengine ni mihemuko tu ya mashabiki
 
Niambie kati ya Diamond na Alikiba nani aliyemuamsha mwenzake safari hii? Unajua usiwe mjinga kuandika ili mrad umeandika
Mkuu kibamia yupo wapi sasa hivi kwasababu siku nyingi sana diamond forever alafu usiwe unajibu tu post za watu wanao ona mbali
 
Mkuu ebu njoo huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…