Taarifa ya EWURA iliyopandisha bei ya mafuta kwa kiasi cha Shilingi 12 kwa lita eti inatufahamisha kuwa kuna punguzo la tozo katika bidhaa za mafuta!
Ninajiuliza sasa kama kweli tozo zimepunguzwa si ina maana bei ya mafuta isingepanda kwa kiasi cha Shilingi 12 zilizotajwa?
Ninajiuliza sasa hilo ni punguzo au kiini macho? WaTanzania tumelala hadi tunakera! Tunadanganywa hivi hivi mchana kweupe na tunaona kwa macho yetu haya haya!
Pyuuuuuuuu!