Hili ni soko la eneo gani?

Hili ni soko la eneo gani?

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,412
Reaction score
3,043
Wakuu wa JF, hapa ni soko gani kwa uzoefu wenu? Miaka 60 baada ya Uhuru

94C6EE87-2660-44F1-866B-1150FAAA8AA8.jpeg
 
Minada ya aina hiyo na bidhaa hizo ni maarufu sana kwa Wanyaturu, wanyiramba, Wagogo, Wambulu/mang'ati hivyo itakuwa moja ya maeneo hayo hususani Singida na Dodoma kwa vile mashuka ya kimasai hayalo kwa wingi
 
imefanana na sehemu moja huko Babati wanaita Dareda Centre ,hata hicho kidimbwi ni kama ile.
Huko kuna sehemu inaitwa Dabil ndo ID yako inavyosema, je mkuu ni wa huko?
 
Back
Top Bottom