Hili ni soko la eneo gani?

Minada ya aina hiyo na bidhaa hizo ni maarufu sana kwa Wanyaturu, wanyiramba, Wagogo, Wambulu/mang'ati hivyo itakuwa moja ya maeneo hayo hususani Singida na Dodoma kwa vile mashuka ya kimasai hayalo kwa wingi
 
ukiona hivyo viatu ni makabila mawili tu tz, wagogo au wamasai.
 
imefanana na sehemu moja huko Babati wanaita Dareda Centre ,hata hicho kidimbwi ni kama ile.
Huko kuna sehemu inaitwa Dabil ndo ID yako inavyosema, je mkuu ni wa huko?
 
Huko kuna sehemu inaitwa Dabil ndo ID yako inavyosema, je mkuu ni wa huko?
niliwahi kufanya kazi babati kwahiyo nafahamu maeneo mengi ya huko,na hata Dabil nimewahi kukaa hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…