Hili ni tatizo au ni kawaida

Dada1

Member
Joined
Feb 5, 2019
Posts
20
Reaction score
23
Naomba msaada wa mawazo kidogo nini nifanye nilikutana na mwenza wangu tarehe 03 February baada ya kipindi kirefu kama mwaka kua safarini cha ajabu baada ya masaa kadhaa (kabla ya masaa 24 toka tu sex) nikaanza kuhisi maumivu ya kukaza kwa mgongo maeneo ya kiuno na tumbo kama kuvurugika yaani kama kuna mizungusho wa kitu tumboni na baada ya muda nikahisi hedhi kidogo kutoka na kisha kukata kwa kumbukumbu zangu nilipata hedhi ya mwisho tarehe 23 January
Je hii yaweza kua ni tatizo gani?
Naomba kufahamishwa ili nijue hatua za kuchukua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bibie una mimba, umefanya ngono siku ya ovulation yaani siku ya hatari. Ulitumia kondom??

Kama ulifanya kavukavu kesho kanunue UPT ujipime mimba,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…