Naomba msaada wa mawazo kidogo nini nifanye nilikutana na mwenza wangu tarehe 03 February baada ya kipindi kirefu kama mwaka kua safarini cha ajabu baada ya masaa kadhaa (kabla ya masaa 24 toka tu sex) nikaanza kuhisi maumivu ya kukaza kwa mgongo maeneo ya kiuno na tumbo kama kuvurugika yaani kama kuna mizungusho wa kitu tumboni na baada ya muda nikahisi hedhi kidogo kutoka na kisha kukata kwa kumbukumbu zangu nilipata hedhi ya mwisho tarehe 23 January
Je hii yaweza kua ni tatizo gani?
Naomba kufahamishwa ili nijue hatua za kuchukua
Sent using Jamii Forums mobile app
Je hii yaweza kua ni tatizo gani?
Naomba kufahamishwa ili nijue hatua za kuchukua
Sent using Jamii Forums mobile app