Hili ni tatizo au vp???

Hili ni tatizo au vp???

alimohd

Member
Joined
Feb 27, 2013
Posts
36
Reaction score
3
Ni kiingiza tu uume wangu kwenye uuke natoa spam baadae ndio naendelea naomba mnisaidie nifanyeje cpend hali hiyo
 
labda ni hamu ya muda mrefu, au unafanya mara kwa mara?
 
Hapana ndio kwanza Mara ya kwanza ilinitokea hali hiyo
 
labda unakuwa na nye*** nyingi sana mpaka unafunguka mapema kabla ya kuingia dimbani kusakata kabumbu. pia inawezekan una-shiriki vita chache sana kiasi kuwa risasi zinakuwa zimejaa bila kutumika muda mrefu na unapojiandaa na vita unajikuta ukitupatupa risasi mapema hata kabla hujamjua adui yako vizuri amekaa kwenye kambi ipi ili umlenge
 
Asant kwa ushaur mzur sana
 
Hilo tatizo huitwa premature ejeculation, husababishwa na lack of control of your pc muscles, jaribu kucontrol pc muscles-pc muscles ni misuli unayoitumia kuzuia kukojoa, ukiweza kukontrol pc muscles itakusaidia kutibu tatizo lako.
Fanya kegel exercises itakusaidia zaidi na unasimamia shoo kwa mda mrefu bila kupiga bao, utaptiga bao utakapo penda na ukufanya hivyo mpenzi wako ataomba mda wa mapumziko.

Kegel exercises mantains 2 hours strong/ firm erection without ejaculating.
 
.
Fanya kegel exercises

Hapo mkuu umeniacha kidogo
 
labda unakuwa na nye*** nyingi sana mpaka unafunguka mapema kabla ya kuingia dimbani kusakata kabumbu. pia inawezekan una-shiriki vita chache sana kiasi kuwa risasi zinakuwa zimejaa bila kutumika muda mrefu na unapojiandaa na vita unajikuta ukitupatupa risasi mapema hata kabla hujamjua adui yako vizuri amekaa kwenye kambi ipi ili umlenge

Umenichekesha sana, boss man!
 
.
Fanya kegel exercises

Hapo mkuu umeniacha kidogo

Google, au ukienda kukojoa, katikati ya kukojoa tumia misuli yako kuzuia mkojo, hiyo misuli inaitwa pc muscles na hiyo hiyo hutumika kuzuia kupiga bao mapema.
 
Back
Top Bottom