Hili ni tatizo au vp???

Hili ni tatizo au vp???

Google, au ukienda kukojoa, katikati ya kukojoa tumia misuli yako kuzuia mkojo, hiyo misuli inaitwa pc muscles na hiyo hiyo hutumika kuzuia kupiga bao mapema.

Owky good nimekuelewa hasaa asante sana
 
Back
Top Bottom