didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 861
- 1,476
Ukweli ni kwamba mimi nikisikia mwanasiasa yeyote sijui katekwa sijui kapigwa sijui kafariki sishtuki hata kidogo na hata tone la huruma halinijii najua ni matokeo ya ugali wanaoutafuta kwa hila za kujifanya wanapenda maendeleo ya watu. Mimi nilivyosikia Sarungi katekwa niliumia sana na wengineo ila nilivyosikia kuhusu Soka sikushtuka wala kuumia hata yule kada wa CCM Iringa pia sikushtuka wala kuwaza. Inshort siwapend wanasiasa hata kwa 0.0001%