Hili ni tatizo Gani wakuu msaada tafadhali

Hili ni tatizo Gani wakuu msaada tafadhali

gambakhuffu

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2010
Posts
488
Reaction score
504
Wakuu wanajamvi habari za muda huu. Hivi karibuni nimekua nakutana na hiyo alama kwenye dashboard (!). Kwa wazoefu wa magari hiyo alama inamaanisha Nini na kama Kuna tahadhari Nini Cha kufanya.

Alama yenyewe imekuwa ikionekana Kila nikiwasha gari then inapotea baada ya sekunde chache. Kiufundi inamaanisha nini wakuu.

Naomba kuwasilisha

Ahsanteni Wana jamvi

Screenshot_20231025-100254.jpg
 
Back
Top Bottom