Hili ni tatizo gani?

Hili ni tatizo gani?

Parincho

Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
48
Reaction score
5
Hodii wanajamvi ,

Mi ni kiijana mwenye umri wa miaka 26 nimekuwa mfatiliaji mkubwa wa jamii forum katika majukwaa yote hasa hasa hili la JF doctor nimekuwa nikijifunza mambo mengi sana hadi kuamua kujiunga ili nipate msaada zaidi.

Yapata miezi 6 sasa naona kuna tatizo mwilini mwangu katika sehemu ya korodani yaani kushuka kwa moja ya korodani nimejitahidi kuliweka wazi tatizo hili kwa vijana wenzangu wengine wananipa ushauri wa dawa za mitishamba lakini waapi,wengine wananambia siwezi kupona,wengine wananambia kwa sababu sina mpenzi kwa hiyo maji yamezidi unga.

Kwa hiyo nipo njia panda sijelewi mwenye ufahamu na hili tatizo tafadhali anijuze.

shukrani
 
According to anatomy, ni sahihi kwa korodani moja kuwa juu na nyingine chini, labda kama kuna cha ajabu zaidi ya hapo, tiririka.
 
Mbupu moja ikilegea ni sawa tena wakati wa joto imwagie maji baridi uone inapanda yenyewe!
 
According to anatomy, ni sahihi kwa korodani moja kuwa juu na nyingine chini, labda kama kuna cha ajabu zaidi ya hapo, tiririka.

shukrani mkuu kwa kunipa mwanga mana nilokuwa nkiwauliza hawakuonesha kuwa hali hii ni yakawaida
 
Labda anamaanisha kashikwa na shipa...ebhana hembu funguka vizuri usaidiwe kabla haujamwita MziziMkavu na Riwa

ha ha ha ha haa!! dah hapana bhana ungekuwa ni huo mzgo ningeshautua mkuu ili ni hivyo tu moja juu nyingine chini basi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom