Parincho
Member
- Sep 30, 2013
- 48
- 5
Hodii wanajamvi ,
Mi ni kiijana mwenye umri wa miaka 26 nimekuwa mfatiliaji mkubwa wa jamii forum katika majukwaa yote hasa hasa hili la JF doctor nimekuwa nikijifunza mambo mengi sana hadi kuamua kujiunga ili nipate msaada zaidi.
Yapata miezi 6 sasa naona kuna tatizo mwilini mwangu katika sehemu ya korodani yaani kushuka kwa moja ya korodani nimejitahidi kuliweka wazi tatizo hili kwa vijana wenzangu wengine wananipa ushauri wa dawa za mitishamba lakini waapi,wengine wananambia siwezi kupona,wengine wananambia kwa sababu sina mpenzi kwa hiyo maji yamezidi unga.
Kwa hiyo nipo njia panda sijelewi mwenye ufahamu na hili tatizo tafadhali anijuze.
shukrani