TEAM VIBAJAJI
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,858
- 2,298
Kuchoka kila siku ndo nini???[emoji32][emoji32].......mimi kila siku huwa naambiwa "nimechoka" ndo maana hunipelekea kumtafuta akina Miss Natafuta huku JF!
πππ hiyo ni kwa wote sio mke tu,ila kumbuka umeolewa hamjaoanamnataka hisia zenu tu ndio zisikiliwe zetu aaaaaaa!shubaaaaaaamiiit
Duh...hatari sana hii. Nami ninae penda iwe at least mara 3 kwa wiki sijui itakuwajemie hata miez 9 naweza kuwa nachoka daily... hutak acha week mbn chamtoto mkuu! hehehe
Mkeo akichoka mwache apumzike, pia ni vyema kumuandaa mapema hata siku mbili kabla.
kwahyo km nimechoka sitakiw kusema au?