TEAM VIBAJAJI
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,858
- 2,298
Kuchoka kila siku ndo nini???[emoji32][emoji32].......mimi kila siku huwa naambiwa "nimechoka" ndo maana hunipelekea kumtafuta akina Miss Natafuta huku JF!
Kwa sasa hili ni janga kubwa ktk ndoa mimi imenipelekea kuongeza mke wa pili