Hili ni Tatizo Kubwa sana kwa Wasanii Wetu

Hili ni Tatizo Kubwa sana kwa Wasanii Wetu

kama kiingereza ni lugha yako ya pili na haukitumii kwenye kazi zako za kila siku huna haja kukijua kihivyo...cha kuombea maji tu kinatosha..

Eti...hata ukikutana na mjapani anayejaribu kuwasiliana kwa kiingareza, nao wanaunga unga tu...
 
Kajitahidi kibongobongo. Lakini mleta thread mr quotes master, hukututendea haki.Umemzungumzia huyo msanii kama vile anajulikana sana hapa tz. Mimi simjui na wala sijui alikuwa akihojiwa na nani na wapi mpaka akautema ung'eng'e huo wa kitanzania.
 
Last edited by a moderator:
Yule mzee ni mchawi ukitoka tip top hata ukutane na promota gani husikiki tena
 
Eng sio lugha yt sawa! Na geography ya nchi yetu jee?
 
Kajitahidi kibongobongo. Lakini mleta thread mr quotes master, hukututendea haki.Umemzungumzia huyo msanii kama vile anajulikana sana hapa tz. Mimi simjui na wala sijui alikuwa akihojiwa na nani na wapi mpaka akautema ung'eng'e huo wa kitanzania.

Mkuu umetutelekeza nyumbani JLW
 
Last edited by a moderator:
Mkuu lusungo, asipoonekana Madame B kule ng'o sifiki. Siwezi kwenda kwenye show ya extra bongo iwapo najua kwamba ali choki hayupo!

Ha ha ha haaa

Kaka angu SHIEKA sijui madame kapatwa na nini ghafla tu ametoweka lakini naona mariaroza anaomudu nafasi yake....
 
Last edited by a moderator:
afadhali huyo jamaa kajaribu, amini usiamini kuna viongozi wengi tu tena waandamizi waongea kama huyo msanii tu
 
uchokoz mwngne haya bhana, ukijatafutwa na kupgwa ngumi jiwe shauri yako.
 
Back
Top Bottom