kama kiingereza ni lugha yako ya pili na haukitumii kwenye kazi zako za kila siku huna haja kukijua kihivyo...cha kuombea maji tu kinatosha..
Kwani kazaliwa ulaya. mwacheni bana angekuwa hajyi kiswahili kweli lugha ya meli huyo wengine tumetokea bara hatuna bahari.
Kajitahidi kibongobongo. Lakini mleta thread mr quotes master, hukututendea haki.Umemzungumzia huyo msanii kama vile anajulikana sana hapa tz. Mimi simjui na wala sijui alikuwa akihojiwa na nani na wapi mpaka akautema ung'eng'e huo wa kitanzania.