Hili ni tatizo kwa Ronaldo, ni la muda mrefu

Ile siku ya Chelsea siisahau ndo nilijua wazungu hawapendi waafirka they r always for themselves...!!! Jirani na nyumbani palikua na kibanda cha Mpira mbagala kipati kwa bibi mmoja bongeee bwana Drogba alivoshinda zile shangwe[emoji1][emoji1][emoji1]sitasahau aseehh!watu walifurahi kupitiliza!
 
Angekuwa bongo basi uzee wake kwa asilimia kubwa angekuja kuwa mchawi.
 
ndio maana Messi huwa anakubalika kote duniani hana upumbavu kama huyu mapenalti uwezo wenyewe umeisha analazimisha
 
uongo mkubwa sana
Hivi unazijua assists za suarez?
Au suarez sio namba 9?
Hajaanza kucheza zamani kama Ronaldo lakini angalia kazi yake anafunga na anawapa wenzie vile vile

Kama suarez angeendela kubaki England tungeongea mengine.

Huyo Ronaldo ni mbinafsi tu na mchoyo utadhani team nzima yuko mwenyewe tu
 
Kuna watu wengine mpira mmejua juzi mnakuja kuropoka tu jf muonekane mmo na nyinyi

Hivi mnajua tabia za ma straiker ?

Unajua ugomvi wa Salah na Mane ulitokana na nini ?

Na mnajua klopp alisemaje kuhusu hilo

Umeangalia ma striker wote kwenye ligi zote uka conclude ni Ronaldo peke ake ?
 
Hivi unamjua mchezaji anayeongoza kwa assist wa muda wote Uefa champions league?
 
Hivi unamjua mchezaji anayeongoza kwa assist wa muda wote Uefa champions league?
Huwezi ku conclude kwa kutumia shindano moja tena la msimu.

Kiufupi umepuyanga angalia angalia record za mchezaji maisha yake yote unataka kusema Ronaldo ndio ana assists nyingi UEFA? Assists?????
 
Yuko hivyo hawezi kua unavyotaka hongera kama umemchunguza toka muda
 
Mkuu lampard alileta uingereza nakumbuka drogba aliomba apige jamaa akamkazia kabisa hakutaka jamaa achukue kiatu
 
Hata facial expression yake huonesha
 
Mkuu lampard alileta uingereza nakumbuka drogba aliomba apige jamaa akamkazia kabisa hakutaka jamaa achukue kiatu
Hio ndio maana yauzalendo sio hapa mnafurahia mugalu kumzidi magoli nchimbi
 
Huwezi ku conclude kwa kutumia shindano moja tena la msimu.

Kiufupi umepuyanga angalia angalia record za mchezaji maisha yake yote unataka kusema Ronaldo ndio ana assists nyingi UEFA? Assists?????
All time assist leader wa uefa ni yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…