Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,662 Reaction score 6,888 May 12, 2015 #1 Hivi huyu mwalimu mkuu wa hii shule kuruhusu kutumika kwa hilo darasa haoni kama ni hatari sana kwa maisha ya watoto na walimu. Hili ni tatizo la mwalimu mkuu/ mwalimu au serikali? Au wote? Source: Shule ya Msingi âNiue au usiniueâ - Makala
Hivi huyu mwalimu mkuu wa hii shule kuruhusu kutumika kwa hilo darasa haoni kama ni hatari sana kwa maisha ya watoto na walimu. Hili ni tatizo la mwalimu mkuu/ mwalimu au serikali? Au wote? Source: Shule ya Msingi âNiue au usiniueâ - Makala