Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,662
- 6,888
Hivi huyu mwalimu mkuu wa hii shule kuruhusu kutumika kwa hilo darasa haoni kama ni hatari sana kwa maisha ya watoto na walimu. Hili ni tatizo la mwalimu mkuu/ mwalimu au serikali? Au wote?
Source: Shule ya Msingi âNiue au usiniueâ - Makala
Source: Shule ya Msingi âNiue au usiniueâ - Makala