angomwile
Senior Member
- Sep 10, 2011
- 153
- 81
Wana jf nimekuja kwenye hili jukwaa naomba mnisaidie,kuna tatizo limenipata kama wiki hivi,kila ninapotakakuchakachuana na shemeji yenu mwanzo jogoo anawika vizuri ila nikianza tu kunanihi ananywea kabisa sasa sijui tatizo ni nini hapo mwanzo ilikuwa shwari kabisa,msaada wenu tafadhari naumbuka huku!