#COVID19 Hili ni wazo bora la kiongozi kuliko kuweka watu karantini kwenye hoteli za nyota nne tena kwa gharama zao

Shule zipi hizo? Hizi hizi ambazo hazina madirisha au milango? Hizi hizi ambazo tundu mbili za Choo wanatumia watoto 2000?! Au IST? Unaweza kuondoka na ugonjwa mwingine.
Halls of residence za university gharama haiwezi kuwa US$ 80
 
Shule zipi hizo? Hizi hizi ambazo hazina madirisha au milango? Hizi hizi ambazo tundu mbili za Choo wanatumia watoto 2000?! Au IST? Unaweza kuondoka na ugonjwa mwingine.
ndizo hizo hzo ndg,mbona wanafunzi wanasoma tena miaka saba wanamaliza au sio binadamu wale??,

kama ni ndiyo,

watashindwaje wa siku 14 tu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…