Hili nilishalijua kuhusu Harmonize...

Hili nilishalijua kuhusu Harmonize...

Nakubaliana na wew,,,,,alifanyakazi kubwa sana

But
Alizitoa hzo nyimbo kipindi gn,,,,,alikuwa aki compete na watu gan kwnye muziki!??
Harmonize na Mondi wanafanana sauti tu.Ukija ktk ubunifu wa nyimbo hizi za kuchezeka Mondi ni mtu mwingine kabisa,kashafanya karibia aina 7 za mziki na zote alifanikwa kutoa hit.
 
Kwa mziki wetu Wa bongo baada ya mwaka mmoja usishangae tukamsahau kwenye game labda clouds wambebe japo wale nao wanafanya jambo kwa maslahi
Clouds wakifanya kumbeba pekee basi atapata anguko baya sana, isipokuwa tu naye akiamua kupambana na kuongeza juhudi na ubunifu, hilo pekee ndo litakalomsimamisha vuzur.

Lkn pia asiwe na mindset ya kushindana na mond, ye apige kazi tu
 
Na hyo ndo inafanya mim nione kuwa Harmonize hata bila WCB anaweza kupiga mzigo fresh na raia tukaelewa....kikubwa juhudi, ubunifu na ujanja tu
True that mkuu....clouds wanashindwa soma alama za nyakati. Zamani walikuwa monopoly kwenye masuala ya burudani now days social media pamoja na brand new radio zimeleta ushindani kwenye industry ya mziki.
 
True that mkuu....clouds wanashindwa soma alama za nyakati. Zamani walikuwa monopoly kwenye masuala ya burudani now days social media pamoja na brand new radio zimeleta ushindani kwenye industry ya mziki.
Ukiacha wasanii waliopo WCB..wasanii wengine wote bongo wanaiona Clouds as there first target,they can't even mess with them...Hawa jamaa bado wananguvu sana kwenye Industry hii ya burudani bongo
 
Ukiacha wasanii waliopo WCB..wasanii wengine wote bongo wanaiona Clouds as there first target,they can't even mess with them...Hawa jamaa bado wananguvu sana kwenye Industry hii ya burudani bongo
Wachache watakuelewa
 
dah ngoja mimi niendelee kusaka hela ..nikipata nka relaxy takuja kubishana kuhusu watu wengne
 
Yaaah walifanya hivi kwa alikiba,,,,,the problem is, jamaa alikua ana contribute effort ndogo sana kwenye kujiweka sawa,,,,mpka mashabiki wanaonekana kumchoka mana wanamkweza jamaa hakwezeki.....anaridhika haraka.

Sasa je, unadhani Harmo na Ali wanafanana karika spirit ya mapambano ya kimuziki!!?
"Sasa je, unadhani Harmo na Ali wanafanana karika spirit ya mapambano ya kimuziki!!?"

Kipindi cha nyuma wakati Harmonize anatoka,humu kulikuwa na thread nyingi za kumponda Harmonize sauti yake inafanana na Diamond.Mondi alifight sana kumpromoti Harmonize ,Harmonize akawa anatoa nyimbo mfululizo,huku Diamond akawa anajizuia kutoa nyimbo ili watu waizoee sauti ya Harmonize waitofautishe na yake.

So spirit ya mapambano ya Harmonize nyuma yake alikuwa anapewa support kubwa na Diamond,plus Sallam na ndio maana kwa WCB ,Harmonize alifanikiwa kufanya kolabo na wasanii wakubwa,kuliko msanii yoyote yule.Je sasa hivi connection kama hizi anazo? Je atatokea mtu wakusucrifice kama alivo fanya Diamond kumpigania mpaka kuwa msanii mkubwa ,wakati mwanzo walikuwa wana mponda mara hoo hajui kuimba,mara sauti yake inafanana na Diamond.
 
Back
Top Bottom