henrykilenga
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 294
- 297
Harmonize na Mondi wanafanana sauti tu.Ukija ktk ubunifu wa nyimbo hizi za kuchezeka Mondi ni mtu mwingine kabisa,kashafanya karibia aina 7 za mziki na zote alifanikwa kutoa hit.
Kwani kipindi cha nyuma Harmonize hakuwepo?Nakubaliana na wew,,,,,alifanyakazi kubwa sana
But
Alizitoa hzo nyimbo kipindi gn,,,,,alikuwa aki compete na watu gan kwnye muziki!??
Clouds wakifanya kumbeba pekee basi atapata anguko baya sana, isipokuwa tu naye akiamua kupambana na kuongeza juhudi na ubunifu, hilo pekee ndo litakalomsimamisha vuzur.Kwa mziki wetu Wa bongo baada ya mwaka mmoja usishangae tukamsahau kwenye game labda clouds wambebe japo wale nao wanafanya jambo kwa maslahi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji736]Walijaribu kumpaisha kiba wameshindwa kwa diamond clouds watapata tabu Sana Mondy ngoma ngumu Kama ukuta wa Berlin.
kwamba ni kinyume na unachofikiri.Nimeiona mkuu, kwan vp
True that mkuu....clouds wanashindwa soma alama za nyakati. Zamani walikuwa monopoly kwenye masuala ya burudani now days social media pamoja na brand new radio zimeleta ushindani kwenye industry ya mziki.
Ukiacha wasanii waliopo WCB..wasanii wengine wote bongo wanaiona Clouds as there first target,they can't even mess with them...Hawa jamaa bado wananguvu sana kwenye Industry hii ya burudani bongoTrue that mkuu....clouds wanashindwa soma alama za nyakati. Zamani walikuwa monopoly kwenye masuala ya burudani now days social media pamoja na brand new radio zimeleta ushindani kwenye industry ya mziki.
"Sasa je, unadhani Harmo na Ali wanafanana karika spirit ya mapambano ya kimuziki!!?"Yaaah walifanya hivi kwa alikiba,,,,,the problem is, jamaa alikua ana contribute effort ndogo sana kwenye kujiweka sawa,,,,mpka mashabiki wanaonekana kumchoka mana wanamkweza jamaa hakwezeki.....anaridhika haraka.
Sasa je, unadhani Harmo na Ali wanafanana karika spirit ya mapambano ya kimuziki!!?
hiyo post imekuaminisha kuwa clouds wana nia ya kumshusha msanii mwingine.Kwani mi nimefikiria nn,,,au hatujaelewana??