Hili nilishalijua kuhusu Harmonize...

Mambo mengine tungeyaacha kama yalivyo. Sisi tufanye kazi. Hao jamaa wala hawana ugomvi na ndio maana Wasafi walipewa Frequency za Coconut ambayo ilikuwa ikimilikiwa na Clouds. Satelite ya Wasafi TV ni clouds.

Wale wanafanya biashara
 
Hahahaha jamaa goigoi sana sijui huwa linategemea nini kuwa namna ile katika dunia hii ya ushindani
Bahati mbaya sana amekuzidi kwa kila kitu japo kwa ugoigoi wake, ni aibu na ujinga kumchukia mtu aliyekuzidi, cha muhimu tulipe kodi tu
 
Mambo mengine tungeyaacha kama yalivyo. Sisi tufanye kazi. Hao jamaa wala hawana ugomvi na ndio maana Wasafi walipewa Frequency za Coconut ambayo ilikuwa ikimilikiwa na Clouds. Satelite ya Wasafi TV ni clouds.

Wale wanafanya biashara
Unajua Kusaga ana share ngapi apo wasafi?
 
Harmonize atakuwa mchoyo wa fadhila kama ataungana na Clouds maana bifu la Diamond na Clouds sababu kubwa ni yeye.
 
Ninakazia
 
Mashabiki wa Diamond sijui mmerogwaaaaaaaaa ?

Kila msanii anaejaribu kuweka juhudi kubwa , mkiona anatishia ufalme wa mtu wenu mnamjengea chuki kaliiiiii na vijimaneneo maneno vya kiswahili haviwaishi, kila siku kumponda mpaka mhakikishe kashuka.

Mlianza na Alikiba
Mkaja Aslay
Then Darassa
SASA Harmonize

Yaani mtu asifanye muziki wake utafikiri mmiliki wa Muziki bongo ni huyo Domo

Takataka
 
Sehemu gani nimejenga chuki ? au umeamua kuropoka.Kwa jinsi ulivyokurupuka labda ww ndiye uliyerogwa

Mziki wa sasa hivi upo wazi kama hujui hujui usitafute visingizio platforms kibao wewe mwenyewe na juhudi zako,ukishindwa umeshindwa ww.

Sehemu gani mtu Kazuiwa kufanya mziki wake?.
 
umekurupuka,tulia usome umuelewe mtoa maelezo
 
Tuwatakie heri tu... Tena waanze fasta...

We just can't wait ..

Ntaxhekaa sana .
 
Tuliza rinda Dogo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…