Hili ongezeko la joto Dar linazuia ufanyikaji wa tendo la seksho intakoz

MUSHEKY

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
2,812
Reaction score
2,760
Habarini wadau hususani wale wenye ndoa zao mjini apa,

Ni takribani miezi miwili hivi kumekua na hali ya fukuto, harara na joto jingi sana

Hali hii imesababisha wenzangu na mimi wanaoishi kwenye chumba kimoja (stoo) chenye mlundikano wa vitu kama kitanda, jiko la gesi, pea za viatu, vyombo vya kupikia, ndoo za maji, kitenga cha kuwekea nguo chafu, panga kwa ajili ya security, kizoleo cha taka, jalo n.k kuishi kwa shida

Kubwa hapa ni kutokufanyika kabisa kwa tendo la ndoa hasa kwa wanandoa wanaoishi mazingira haya

Tafiti mbali mbali duniani zinaonyesha kwamba tendo hili la burudani hufanyika kwenye kiwango fulani cha joto na linapozidi hali ya kuhitajiana hupungua

Sambamba na hivyo, vitendo vya uzinzi na ngono zembe pia vinakadiriwa kupungua hasa nyakati za mchana kwenye nyumba za kulala wageni na magetoni kwa kua watu husweti balaa......

Natoa wito kwa wadau wote wa tendo hili hususan wanandoa wavute subra kwani kipindi hiki ni kifupi na kinapita tu kama kilivyotabiriwa na mamlaka ya haliya hewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama vipi c kuna viwanja vyenye viyoyoz!
Unajitupia tu Mkuu na mambo yanasonga tarrrtiiiib.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi nmekula tunda haikuwa mpango wangu ila ikabidi nibandue tu ila joto lake mwili wote umelowa,kitanda kimelowa utafikiri kimemwagiwa maji
Bila shaka ni stoo hyo(chumba kimoja) ukiamka Mali zako zote unaziona kwa pamoja
 
malalamiko ya kutogegedwa mda mrefu unayaleta huku?? pole sana
 
Nasikia Membe ametimuliwa CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…