Hili ongezeko la joto Dar linazuia ufanyikaji wa tendo la seksho intakoz

Hili ongezeko la joto Dar linazuia ufanyikaji wa tendo la seksho intakoz

Lawama tumtupie nani sasa, au jiwe ataweza kubeba hizi lawama?

Leo nilihisi joto nikadhani nita-faint mda fulani mchana.
 
Unatoa ushauri wa nn wakati hakuna mtu aliyekuomba ushauri?

Bahati yako ni kwaresima ningekutukana tusi leo
 
Back
Top Bottom