MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,455
- 1,473
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo mkali pilipili tu
ShikamooBado wanatambiana...didhani kama wamepiga hatua yoyote kuelekea kupanga hata tarehe.
Deontay naona anapambana rough mno kuangalia mapambano yake wala hu enjoy ingawa anashinda. Ni sawa na huyu jamaa aliyestaafu juzi, huyu aliyempiga Paq. Yaani unaona hakuna art kwenye mchezo wake ingawa ndo hivyo anashinda.
Wakiingia uwanjani probably nitamshabikia Joshua ingawa ingekuwa kubet ningebet kwa Deontay.
Mh sio dear tena?Shikamoo
Nimesahau dear. Za wewe?Mh sio dear tena?
Njema kabisa...naona ulikuwa wapata chinese na haineken.Nimesahau dear. Za wewe?
Chai nimekunywa mwishoni kidogo baada ya Heineken kunichosha.Njema kabisa...naona ulikuwa wapata chinese na haineken.
Yani hukutaka kutumia chai yao kabisa
Vipi huko wana option ile ya ku order family portion?Chai nimekunywa mwishoni kidogo baada ya Heineken kunichosha.
Sijui kwa kweli. Ntauliza next time nikiendaVipi huko wana option ile ya ku order family portion?
Nitashukuru. Raha mkienda chinese kama watu wanne hivi...then mna order different things kama vitatu family size then mnashare.Sijui kwa kweli. Ntauliza next time nikienda
Usijali my dear ntakupatia mrejesho. Kwani huko kwenu mwanerumango kunao hiyo family package?Nitashukuru. Raha mkienda chinese kama watu wanne hivi...then mna order different things kama vitatu family size then mnashare.
Anyway usisahau kunipa mrejesho.
Naona mmevamia uzi [emoji23]Usijali my dear ntakupatia mrejesho. Kwani huko kwenu mwanerumango kunao hiyo family package?
Shem tulia. Hutaki na mimi nipate bby wangu hapa au?Naona mmevamia uzi [emoji23]
Huku ipo.Usijali my dear ntakupatia mrejesho. Kwani huko kwenu mwanerumango kunao hiyo family package?
Ukienda peke yako huwezi kuenjoy. Wawili watatu ndo inanoga kila mtu akiagiza chake mnashareHuku ipo.
Sijawahi kwenda chinese restaurant peke yangu aisee au wawili tu.
Nlikuwa nasoma thread yenu ya vyuo, imenipotea. Ila nina swali...hao malecturer mnaowataja walikuwa viwembe wana familia kweli? Mke na watoto?Ukienda peke yako huwezi kuenjoy. Wawili watatu ndo inanoga kila mtu akiagiza chake mnashare